Unafki wa Watanzania kwenye Dini

Unafki wa Watanzania kwenye Dini

jifunze kusoma bila kukurupuka? Wapi nimesema itungwe sheria kuzuia nani avae nani? Tena ndo hao wenye dini wenye itikadi izo. Mie nimepoint unafki tu Km nikisema kuvuta sigara inanikera cjasema zuia.
Usikereke wala kuteseka kwa mambo ya watu yasiyokuhusu!

Ishi maisha yako utapata amani ya moyo!
 
Kuna wakati tulitaka tuwe na vazi la taifa (kitenge,batiki ndio zilikuwa pendekezwa) kwa jinsi waarabu walivyotushika masikio na vazi la taifa lao, haitakaa iwezekane.
 
Nani alikwambia au ulisoma kitabu gani cha imani kinasema kanzu na hiyo sijui habaya ni vazi la waislamu au la dini fulani?

Punguza kuhemkwa na chuki... Wewe ni mtanzania na wao ni watanzania pia.. waache wavae watakavyo cha msingi hawavunji maadali ya mtanzania
umeona kuna chuki hapo?
 
Afrika hatujastarabika kama wenzetu wazungu ambao kwao nyeupe nyeupe na nyeusi nyeusi,sisi bado tunaishi kinafiki tuonekane mbele ya Jamii.

Dini zenyewe hizi ni Utapeli mtupu
 
KATAAA UTAPELI WA DINI ZA KULETEWA NA WAARABU NA WAZUNGU,
JAMII INAYOACHA CULTURE YAKE NA KUENDEKEZA CULTURE YA WENGINE NI JAMII YA HOVYO KABISA.

KWA NINI UONE CULTURE YAKO NI MBAYA HALAFU YA KULETEWA NDIO IWE NZURI HUO NI UTAPELI WA KIFKIRA.

KATAA UTAPELI WA DINI
 
Hao wakristo wana bahati walichukua dini peke yake, waislam walichukua dini na utamaduni kabisa.
 
Hujajua kua Yesu alikua anavaa Kanzu? Hayo ni mavazi tu na tamaduni za mataifa ya huko imani zilipoanzia! Dini ya mtu anaijua yeye we vaa tu hata magome ya miti.
ile ilikuwa kanzu au joho?
 
Najua mtu yoyote anaweza kuvaa ila why mpk ukutane na watu fulani ndo unavaa au mpk kw Ramadhani ndo unavaa??? Ni unafki na cjaongea kwa chuki ila nimeweka facts tu. Miezi 11 yote uvae jeans na suti but kw Ramadhani ndo abaya na hijab hapana ni unafki
BASI tufanye ndo hivyo unavyo fikiria
 
Najua mtu yoyote anaweza kuvaa ila why mpk ukutane na watu fulani ndo unavaa au mpk kw Ramadhani ndo unavaa??? Ni unafki na cjaongea kwa chuki ila nimeweka facts tu. Miezi 11 yote uvae jeans na suti but kw Ramadhani ndo abaya na hijab hapana ni unafki
ukihoji wanakuambia hata nyerere, mkapa na magufuli walivaa hayo mavazi ya kiislam
 
Najua mtu yoyote anaweza kuvaa ila why mpk ukutane na watu fulani ndo unavaa au mpk kw Ramadhani ndo unavaa??? Ni unafki na cjaongea kwa chuki ila nimeweka facts tu. Miezi 11 yote uvae jeans na suti but kw Ramadhani ndo abaya na hijab hapana ni unafki
Ulitegemea pale kwenye ukumbi jana mh. Mbowe angeenda na suti? Vitu vingine siyo hata vya kujadili jadili. Nyerere na ukatorik wake alivaa baraghashia na hatukuwa hata tunajali iwe sijui msanii gani
 
Tufanye SAsa mimi nakuita wewe mnafiki... kisa umevaa suti afu nalazimisha suti ni vazi la wagalatia wakati wewe sio mgalatia.... Nakutolea povu lote hilo afu Hapo wewe hunijui
Usilazimishe mambo nenda na facts, ukweli na uhalisia.
 
mbona kuna jamaa yenu mmoja anamkoromea mwijaku aache kucheza muziki huku kavaa kiislam akidai ni mavazi matakatifu ya dini yenu?
kwani mtu yeye kama yeye na mwijaku pia si muislamu?

Mavazi yanapewa kipaumbele na watu ndo maana hata sehemu ya kazi kuna mavazi husika ...Vaa utakavyo ila usimisbahave..

Akili zenu mtu akivaa kanzu tu akifanya ujinga basi mnakuja kupost na kusema oneni uislamu ulivyo ndo maana watu wanakataza.
 
Mimi nadhani ni kawaida tu kwani hata kwenye baadhi ya matukio huwa Kuna uvaaji wake, mfano unaweza ukawa umezoea kuvaa Jeans lkn Kuna matukio itabidi uvae tofauti na ulivyo zoea
yale mavazi ni ya kiislam ndio maana huuzwa zaidi na waislam nje ya misikiti. Unataka balaa? Kanunue kanzu na kibarghashie uvae wakujue si muislam uko kwenye mishe zingine zisizo za kiislam watakuambia unadhalilisha uislam. Haya mavazi yana utata kwa asiye muislam kuyavaa nje na shughuli zao. Kwa wanawake haina shida hata mimi napenda mke wangu avae kama wanawake wa kiislam, kwa kweli huwa wanapendeza sana hasa wakipaka lip stick, mashaallah wanapendeza
 
Mimi naona tatizo ni kukalili tu. Kanzu ni vazi linalovaliwa na waislamu wengi lkn si utambulisho wa uislamu.
 
Kuna jamaa zangu wa kituo kimoja cha luninga maarufu siku ya ijumaa wakitoka masjid na mavazi yao wanaingia nayo studio kusoma taarifa ya habari. Hiyo luninga inaonesha hawana dressing code kwa watangazaji wake, ni full hijabu, mitandio, kanzu, vibarghashia, tshirt na jeans, suti, majora na madera. Kila mtangazaji hujivalia anavyojisikia
 
Back
Top Bottom