Unafki wa Watanzania kwenye Dini

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Ivi kwanini mtu Km huvai kitu fulani ghafla kujifanya unavaa??? Naona wasanii wengi Wakristo kwa waislamu kujifanya wanavaa Abaya au hijab au kanzu kwenye kipindi cha Ramadhani when walikuwa hawavai hata Km waislamu? Why? Hata izo sala si mliambiwa kila siku why kw ramadhani tu hata Km Muslims consider it holy month ok; tuachane na Muslims na hao Christians kuvaa kanzu Km akina Mbowe cjui Jokate kuvaa abaya cjui nan? Why unafki Km it's not your style au your religious observance why the hypocrisy? Vaa what u like all days kwa heshima tu and meet anyone. Ukienda kukutana na Mufti cjui Pope co lazima uvae Km wao. Mi Km mtu havai Km mie all days then siku anakutana na mie anajifanya kavaa Km mie namuumbua hapo hapo. Km jeans it's your thing keep wearing it, Km suits keep wearing it, Km bazee keep doing Km abaya na hijab fine ila usijifanye kuvaa ki unafki. Sipendi sana Km mtu ajifanye anaongea kichina au Spanish when hajui. Ovyo sana. Let's stop.
 
Falsafa ya Ramadhan ni pana kuliko unavyoifikiria.
 
Nani alikwambia au ulisoma kitabu gani cha imani kinasema kanzu na hiyo sijui habaya ni vazi la waislamu au la dini fulani?

Punguza kuhemkwa na chuki... Wewe ni mtanzania na wao ni watanzania pia.. waache wavae watakavyo cha msingi hawavunji maadali ya mtanzania
 
Rais mwenyewe kasema alikuwa anavaa jeans na T shirt mpaka alivyoingia kwenye siasa akaanza kuvaa hijab.

Ni aina fulani ya virtue signaling watu wakuone una maadili mema.
 
Ya watu achana nayo , kama wanamuigizia Mungu wao ili kutufurahisha wanazengo , watakumbana naye siku ya kiama ambapo kila mmoja atabeba msalaba wake , no suppoters
 
Hujajua kua Yesu alikua anavaa Kanzu? Hayo ni mavazi tu na tamaduni za mataifa ya huko imani zilipoanzia! Dini ya mtu anaijua yeye we vaa tu hata magome ya miti.
 
Nani alikwambia au ulisoma kitabu gani cha imani kinasema kanzu na hiyo sijui habaya ni vazi la waislamu au la dini fulani?

Punguza kuhemkwa na chuki... Wewe ni mtanzania na wao ni watanzania pia.. waache wavae watakavyo cha msingi hawavunji maadali ya mtanzania
Najua mtu yoyote anaweza kuvaa ila why mpk ukutane na watu fulani ndo unavaa au mpk kw Ramadhani ndo unavaa??? Ni unafki na cjaongea kwa chuki ila nimeweka facts tu. Miezi 11 yote uvae jeans na suti but kw Ramadhani ndo abaya na hijab hapana ni unafki
 
Tumeanza lini kupangiana mavazi na hujatoa hata mia kumnunulia
jifunze kusoma bila kukurupuka? Wapi nimesema itungwe sheria kuzuia nani avae nani? Tena ndo hao wenye dini wenye itikadi izo. Mie nimepoint unafki tu Km nikisema kuvuta sigara inanikera cjasema zuia.
 
Father kitine yeye alitinga na kola kama kawaida yake. Mbowe ni mwanasiasa anayeongoza wanachama wa chama chake wakiwemo waislam. Anavaa kiislam kuonesha yuko pamoja nao kwenye shughuli za kidini. Waislam wana kawaida ya kulipuka kwa jazba wakiona mavazi yao yanavaliwa nje na shughuli zao hasa kwa asiye muislam. Hata kwa muislam mwenzao wakiona amevaa mavazi yao huku yuko kwenye mambo yasiyowapendeza wao huwakwa hasira na kutaka mavazi yao yaheshimiwe
 
Mimi nadhani ni kawaida tu kwani hata kwenye baadhi ya matukio huwa Kuna uvaaji wake, mfano unaweza ukawa umezoea kuvaa Jeans lkn Kuna matukio itabidi uvae tofauti na ulivyo zoea
 
jifunze kusoma bila kukurupuka? Wapi nimesema itungwe sheria kuzuia nani avae nani? Tena ndo hao wenye dini wenye itikadi izo. Mie nimepoint unafki tu Km nikisema kuvuta sigara inanikera cjasema zuia.
Nikuulize... Hua unashinda na suti ndani kwako? Au hua unavaa bukta ukienda sehemu ya Ibada?
 
Religion does 3 things effectively. Divides people,controls people and deludes people.
 
Kama hayo mavazi wanayanunua kwa fedha walizo zitatafuta kwa jasho lao ww kinacho kuuma ni nini?
Hivi watz mtaachaga lini upumbavu?
 
Back
Top Bottom