Unafki msibani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafki msibani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Adrian Stepp, Nov 24, 2011.

 1. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Mwanamke mmoja mkazi huko moshi ambae alisadikika kumuua mumewe mwenye kipato (kama kawaida yao) basi baada ya mumewe kufariki ndugu na jamaa na marafiki walikusanyika kwa ajili ya kumuaga mpendwa wao.

  kama kawaida maiti ilipotoka hospital kwa ajili ya kufika kwa mazishi huingizwa ndani sitting room na mke na watoto wakawa tayari kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

  Jeneza likafunguliwa wakati bibie anaenda kuaga akawa analijiliza kupita kiasi kila wakimsihi wapiiii!! "mume wangu weee bora ungenisubiri tufe wotee" ntalea na nani hawa watoto..nk.. sasa bwana ile anafika tu pale kwenye maiti mara panya na nyoka wakawa wana fukuzana darini ghafla ile mama anafika tuu kwenye jeneza nyoka akaangukia ndani ya maiti!!

  sasa watu nje wakawa wametulia wanasubiri zamu ifike ghafla bin vuu yule mama wanamuona anatimka mule ndani kama hana akili nzuri na machozi yote kushnei.

  kilicho washangaza watu ni kwamba alikua hana hata nguvu za kusimama sasa je zile nguvu za kutimkia mbaka mtaa wa pili alizipata wapi???

  watu wanafki sana!
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,529
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  maisha matamu ndugu yangu.Nalog off
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unautani sana weye, nyoka!
  MH WEWE UNGESIMAMA?
  alimuje huyo mumewe kwa lisasi?
  Mpaka leo waafrica hatuna natural death pa lefu kweli kweli!
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  crafted story hahahahaha!!!!!!!!!
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  ili kuonyesha mapenz zaidi na mumewe si alitaka amsubiri wafe wote?? angejikalisha ili waingie wote ahera!

   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Lol just like this eeh?
  msikitini na simu.jpg

   
 7. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  usifanye mchezo na kifo
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,297
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Uza kwa Kanumba na Ray, kama namuona Auntie Ezekiel akitimua mbio Bwahahahahaha
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  kaka mbele ya nyoka hata awe nani ningechapa laapa hatari ye alisema angemsubiri wafe wote ka bwana angekua mzima then nyoka angewagonga kwa pa1 sawa
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  kuna mtu alikuwa anataka kujinyonga, wakati ameshafunga kamba yake kwenye mti anataka kuingiza kichwa kambani akatokea simba, jamaa alitimua mbio za mwaka na kamba akaiacha na hakurudi tena akaahirisha na zoezi
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,529
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Mbona unatoa siri zangu hapa? Nalog off
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,419
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Nyoka muziki mwingine kaka...
   
Loading...