unafikiria nin sasaivi???????

Vibinti vya siku hizi vinaaga vinaenda shule halafu vikirudi home vinaongelea mambo ya namnani.

Mie huwa nawaza, hivi limeanzishwa somo la 'namnani'???

Mi nafikiria kama binti yangu alivyoaga asubuhi anaenda shule ni kweli kaenda au ndo kama vile tena...

 
kipenzi Roulette,bishanga ni helicopter,tena Apache,popote inatua,iwe kwenye dhoruba,gizani,baharini,kati kati ya volcano yenyewe itatua tu.

Heheeee nenda ukatue huko haiti
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wana jf nimewamis kwanza sikua vizuri sikuchache zilizopita ila mi nahitaji kufahamu kwa muda huu unawaza nin kwa kichwa chako?



Beibe nasty mke wa judgement asanteen saana


style ambayo Judgement uwa anaitumia anapokula kitumbua na wewe unavyokamatia muhogo..
Kitu cha PUNDA au?
 
Last edited by a moderator:
style ambayo Judgement uwa anaitumia anapokula kitumbua na wewe unavyokamatia muhogo..
Kitu cha PUNDA au?

Punda mbona kidogo ni zaid ya hapo chezeiya kituu na muho wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…