Unahisi kumsaidia omba omba ndyo kutatua tatizo lake?? au unahisi nini kifanyike kumsaidia...
Sometimes omba omba wana akili kubwa kuliko msaidiaji (mtoaji) nlishawahi kumkuta omba omba anadeposit an amount of money... so inamaanisha ile ndyo ajira yake... unamuonaje huyu omba omba? clever???