Unafikiri kipi kimemvutia huyu kiongozi wa kanisa katoliki kuingia dini ya Uslamu

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,275
21,443
Kiongozi moja wa Dini ya Roman Catholic ameamua kuacha dini ya mababu zake na kuingia dini ya Uislamu ambayo sio maarufu nchini mwake, unadhani kitu gani kimemvutia huyu kiongozi mkuu wa dini kuingia Uislamu licha ya kua na elimu na maarifa ya kutosha ya dini yake.

Alhamdulillah, Brother Hilarion Heagy, a former Catholic priest announced that he reverted to Islam.
.
He uploaded a blog post of his journey to Islam
Under his new Muslim name, Said Abdul Latif
May Allah keep him steadfast and firm upon the deen Ameen.

#islam, #peace #conversion

Screenshot_20230228-122800_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom