PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watanganyika mnadhani kuwa sisi Wazanzibari tunaupenda saaaaaaana muungano eeeee. Sisi katika jambo ambalo hatulitaki namba moja ni muunganano. Tumepiga kelele na tumetiwa jela kwa jambo hilo. Kiufupi mkiandamana na mkipigwa na kufa ni mnaonja kile Wazanzibari tumepitia tokea kuanza kwa vyama vyengi Tanzania.
Binafsi sisi tunaomba huko muandamane mupigwe hadi mwisho wakubali kumvua mama uraisi na wakubali kuvunja muungano.

Sisi hata rais mwinyi anaweza kutuongoza vizuri tu na Wazanzibari tutampenda zaidi kama muungano utavunjika. Kwa sababu tutakuwa na maamuzi yetu, sio maamuzi ya Dodoma.
 
Mimi nashauri huu muungano uvunjike tu ila kila mtu ajivunie nchi yake. Binafsi nina mapenzi zaidi na Tanganyika kuliko Tanzania.
Hunizidi mimi mkuu wangu, naipenda sana nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
FB_IMG_1762334534298.jpg
 
nyie jamaa bana muna shida sana, kwanini mulazimishe kila mtu munachokitaka nyinyi?
 
Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa.

Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo.

Watanganyika mjitathmini!
Fatuma Karume enzi za Magu nilikuwa najua ni bonge ya mtetezi wa haki za binadamu, kumbe ni udini ulikuwa unamsumbua!
 
Ndo maana mimi bwana uwa sifati mkumbo.kwenye mambo ya siasa.kuna wengine uwa Wana kuwa wanaharakati sababu ya kubanwa maslahi yao sio Kwa ajili ya watu.
Kama maria sarungi kipindi Cha kikwete alikuwa karibu na watu wa ccm.alikuww na kampuni yake ya media ya compass.alikuwa anapata madili ya matukio ya viongozi.alipokuja magufuli zile semina akakata.BIFU NA HARAKATI ZIKAANZA
upo sahihi sana Maria alikuwa CCM pro max namshangaa sana leo kuna kitu kakosa ndo analipa kisasi
 
TEC hata magufuli walipiga kelele shida masheikh nguruwe hayana akili ya kufanya utafiti , wakati wa magufuli kuna askofu alizuiwa kabisa kusafiri nje na mwingine alinyanganywa uraia mmesau kwa sababu ya kuvimbiwa nguruwe mnaokula kwa siri
 
Wajumlishe na TEC nao kipindi hiki wamekamatwa kisawasawa ndio maana mikelele mingi
TEC hata magufuli walipiga kelele shida masheikh nguruwe hayana akili ya kufanya utafiti , wakati wa magufuli kuna askofu alizuiwa kabisa kusafiri nje na mwingine alinyanganywa uraia mmesau kwa sababu ya kuvimbiwa nguruwe mnaokula kwa siri
 
TEC hata magufuli walipiga kelele shida masheikh nguruwe hayana akili ya kufanya utafiti , wakati wa magufuli kuna askofu alizuiwa kabisa kusafiri nje na mwingine alinyanganywa uraia mmesau kwa sababu ya kuvimbiwa nguruwe mnaokula kwa siri
Walimkataa magufuli kuwa Mungu wao akawatia pin kwenye mirija yao wakaanza kupiga kelele ukute ndio waliomtanguliza akhera mkatoliki mwenzao
 
Back
Top Bottom