Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,603
- 3,428
Hawawezi kukubali kunyang'anywa chakulaKatika kitu ambacho kwa sasa wazanzibar na wa oman awataki hata kukisikia ni neno kuvunja muungano ...wanaweza hata kukuua ila muungano usivunjike ...
Hawawezi kukubali kunyang'anywa chakulaKatika kitu ambacho kwa sasa wazanzibar na wa oman awataki hata kukisikia ni neno kuvunja muungano ...wanaweza hata kukuua ila muungano usivunjike ...
Uvccm punguzeni matako,maana nyinyi ni wajinga wajinga sanaMost do sacrifice their soul for funny events. Wanadhan kama kufata upepo wa movement za gen z Afrika ni uzalendo na fashion. Mbaya zaidi maamdano haya hapa bongo hayana kichwa kinachoyaongoza kwamba mama akiondolewa pale huyu tunamuamini apewe au akae kama serikal ya mpito kam inavyodaiwa
Wewe malaya,na Dictator wenu katili, D9 tunawafurushaHahaha 😆 umeona eeh
Kuna mzee alikua anang'ang'ania hili mpaka wakamfunga kamba wakimuhisi ni chizi au amerukwa na akili, kwamba yeye Tanzania haielewi anayoielewa ni Tanganyika pekee, wairudishe Tanganyika, sasa hivi ni Marehemu.Binafsi nina mapenzi zaidi na Tanganyika kuliko Tanzania.
Mm sio mwqnachama wa cham chochote mkuu, ila ifike kipimdi tuwe na huruma na watu. Mm nafhan kama njia ya nguvu ni sahihi mapori kibao Tanzania hii ingieni porini tu sio kuwasisitiza wananchi wakagombane na polisi mitaani polisi mwenyew anapata nn zaidi ya kutetea ugali wake?Uvccm acheni upumbafu,na nyinyi mtafikiwa na huyu dictator, aliyejipachika uraisi
..wanaounga mkono udhalimu wanaweza ishia kuuawa au kifungo cha maisha piaKuzungumzia maafa siyo sheria kila mtu ayazungumze, Wazanzibari walishapitia changamoto zao za uchaguzi sasa hivi wameshajifunza wameamua kujenga nchi yao. Sasa hivi ni zamu yetu tutajifunza maisha yataendelea. Halafu kwenye maisha inaweza ikafikia hatua ukaamua kukaa kimya ili upate amani ya moyo, kuliko kujifanya shujaa uanze kuishi kama digidigi. Kuna watu wako nje ya nchi wanatamani warudi Tanzania, ila jinsi walivyovuruga humu ni bora waendelee kuishi nje kwa Political Asylum.
Mwendawzim wewe, maandamano unayaganya hapa jf kwa kutukana member wenzio? Hii ni sehem ya hoja mzee. Kama unataka kumfurusha Samia Chamwino unapajua kama huna nauli tukuchangie hapaUvccm punguzeni matako,maana nyinyi ni wajinga wajinga sana
Wewe malaya,na Dictator wenu katili, D9 tunawafurusha
National Security ndiyo kipaumbele kuliko faida ya watu wachache. Hatakiwi kuchekewa mtu yoyote anayehamasisha uvunjifu wa amani kwa njia ya kudai haki...wanaounga mkono udhalimu wanaweza ishia kuuawa au kifungo cha maisha pia
Mm sina matako mbn unanisingizia dada😆Uvccm punguzeni matako,maana nyinyi ni wajinga wajinga sana
Wewe malaya,na Dictator wenu katili, D9 tunawafurusha
Ila mama nae ana madhaifu yake.kwanini ana waachia watekaji?Wajumlishe na TEC nao kipindi hiki wamekamatwa kisawasawa ndio maana mikelele mingi
Iq zero,hadi dictator wenu,zero brainMm sina matako mbn unanisingizia dada😆
Ukiijua siasa na porojo zake hutapata shida kuna namna huko kwenye siasa wanaharibiana kazi sitaki kuamini eti hata magu alikuwa anateka na kuwafunga watu kwenye viroba mtu ambae hata kunyonga wenye makosa alikataaIla mama nae ana madhaifu yake.kwanini ana waachia watekaji?
Kuliko watu wa kaskszin?Wazanzibar sio unafiki tu bali pia wana ubinafsi uliopitiliza.
Cha kusikitisha ni kwamba watu wenye akili hawaelezi tumefika fikaje hapa tulipo.Mm sio mwqnachama wa cham chochote mkuu, ila ifike kipimdi tuwe na huruma na watu. Mm nafhan kama njia ya nguvu ni sahihi mapori kibao Tanzania hii ingieni porini tu sio kuwasisitiza wananchi wakagombane na polisi mitaani polisi mwenyew anapata nn zaidi ya kutetea ugali wake?
Haki zote zinazodaiwa hapa Maslahi yake ya moja kwa moja sio ya tabaka la chini. Ufisadi nchi hii unafanywa na level zote, cha kuangaliwa zaidi ni mfumo na namna gan hasa mipango yote itakuwa kweli kwa mwananchi wa ngaz ya chini kabisa. Helq za kukomboa vijana kiuchumi aslimia kubwq zinachinjwa ngazi hiyohiyo ya wilaya na mikoa kwa mfano mdogo tu
Fatma Karume kimyaaaa!Wazanzibar sio unafiki tu bali pia wana ubinafsi uliopitiliza.
na ww unasubir unanwe kweny mamb yako ndo uongee ? pekee yake utaeza ikabil serikali ?Ndo maana mimi bwana uwa sifati mkumbo.kwenye mambo ya siasa.kuna wengine uwa Wana kuwa wanaharakati sababu ya kubanwa maslahi yao sio Kwa ajili ya watu.
Kama maria sarungi kipindi Cha kikwete alikuwa karibu na watu wa ccm.alikuww na kampuni yake ya media ya compass.alikuwa anapata madili ya matukio ya viongozi.alipokuja magufuli zile semina akakata.BIFU NA HARAKATI ZIKAANZA
Au ww uliyaona matako yangu😎Iq zero,hadi dictator wenu,zero brain
Unataka kufaham nn kuhusu "hapa tumefukaj" ni kwa nn tumefika, ni kwa jinsi gani tumefika? Au na wewe ni tabaka la kati?Cha kusikitisha ni kwamba watu wenye akili hawaelezi tumefika fikaje hapa tulipo.
Nchi inajiendea tu kama kuna watu hawana vichwa.
Si kwamba hatujui tumefikaje hapa.Unataka kufaham nn kuhusu "hapa tumefukaj" ni kwa nn tumefika, ni kwa jinsi gani tumefika? Au na wewe ni tabaka la kati?
Mana hiv vitu sizungumzi kwa utashi, vipo kwemye sayans8 tayari soma political economy vizur