Wewe ni kipofu wa maandiko ya Biblia najua umekaririshwa na viongozi wako pole sana atakaye kufata mtadumbukia wote shimoni.Maana hata domo lako ni chafu kama choo linatoa matusi ovyo.
Unapoanzisha uzi humu JF jifunze kuwa mtafiti wa jambo husika kwanza na si kuandika kwa mlengo fulani au kelele za watu fulani.Eti baada ya machafuko ya Iraq Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa United States of Amerika wapo against any genocide hapa duniani hivyo wakaenda Iraq kutuliza amani.
Swali
Kinachotokea huko Gaza sio genocide? kwanini Marekani Polisi wa dunia ameshindwa na hatuoni meno yake katika kutuliza au kuwapunish Israel kwa wanayoyafanya?
Imani yetu binadamu inatufanya tusiwaone wale watoto na wazazi wanaofariki Gaza kama ni wanadamu, utakuta mkristo anasema waache wafe tu.
Mimi ni mkristo kwa imani ila kamwe sintokubali haya mauaji ya waisrael wanayoyafanya eti kisa imani kwanza wewe kama ni mkristo halafu unasupport mauaji kwa kweli wewe ni mkristo jina.
Tuupinge huu unafIki wa Wamarekani na washirika wake katika kutuliza amani na demokrasia ya dunia.
wakristo wote ni wa majina,imani dhahiri iko nafsini kwa mtu binafsi na si kwa maandishi, kwani hata matendo mema vile vile yaweza kuwa ni ya kinafki-ajuae ukweli wa nafsi zetu ni Mungu pekee-ambaye ni wetu sote(wakristo,waislam na wengine)Wakristo jina,hawatakuunga mkono.
Wawaona washenzi lakini huishi kuwalamba miguu kuomba misaada.ni washenzi sana ha wa U.S.A
Hata magaidi hawakuambiwa wawaue wengine. Mungu hakutupatia uhai ili tujiue (kujitoa muhanga) bali tuishi kwa amani,tumjue,tumtumikie na mwisho tufike kwake tena.haha,, hebu weka imani pembeni shirikisha ubongo wako, kwahyo bible inasema ni ruksa kwa waisrael kuwaua wengine wasiokuwa wayahudi...kwani Mungu si Mungu wa wote iweje apitishe kikundi kimoja cha watu kiwauwe wengine na kiwe juu na kipewe heshima zadi ya wote???kwann asingewaumba waisrael peke yao
Fanya tafiti kwanza,usi-comment kwa kuongozwa na emotions zako...unaweza ku-google,sikiliza habari n.k halafu pima pande zote kabla hujafanya unfair judgements zako hapa.pole sana kaka kwa kuongozwa na udini na imani iliyokujengea chuki kubwa mno kiasi cha kutoona mabaya hadi kuuwawa kwa wanadamu wenzetu,, naomba utambue kuwa Mungu wa kweli hajawahi kuthibitisha mauaji ya watu wake na kikundi kinachotumia jina lake maana sote ni wana wa Mungu kabla ya imani zetu, kingine ni kuwa hizo picha za watoto zinaonyeshwa na mashirika ya washirika wa waisrael na marekani nikimaanisha BBC, skynews, Cnn na wengineo, M
Wakuone wewe mtoto ili wafaidike na nini?acha kujijaza ujinga tu.Ni kweli mkuu. Hawa jamaa wameshatuona sisi kama watoto wadogo. wanavyosema tunakubali. Lakini yana mwisho haya. Dunia sasa imechoka na uuu ujinga wa mmarekani na muyahudi. Watu wengine wanashabikia eti kwakuwa imeandikwa israel ni taifa la mungu. Lakini hawaelewi kilichoandikwa kwenye Biblia kina maana gani.
Wamemuua yesu, eti waacheni ni taifa la mungu. Wanaua watoto eti ni taifa la mungu. Wana classes. wanabagua waisrael wenye asili ya black, eti ni taifa la mungu.......LOL
umekurupuka wewe...wakristo hatukariri biblia wewe,unaisoma,unaielewa na kuitekeleza kulingana na mazingira husika.wakristo wengi haatutaki kufuatilia ukweli halisi nje ya biblia, tunasoma biblia kama hadithi halafu tunashabikikia mauaji ya wenzetu, hii ni aibu maana huko middle east pia kuna wakristo kibao
Eti baada ya machafuko ya Iraq Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa United States of Amerika wapo against any genocide hapa duniani hivyo wakaenda Iraq kutuliza amani.
Swali
Kinachotokea huko Gaza sio genocide? kwanini Marekani Polisi wa dunia ameshindwa na hatuoni meno yake katika kutuliza au kuwapunish Israel kwa wanayoyafanya?
Imani yetu binadamu inatufanya tusiwaone wale watoto na wazazi wanaofariki Gaza kama ni wanadamu, utakuta mkristo anasema waache wafe tu.
Mimi ni mkristo kwa imani ila kamwe sintokubali haya mauaji ya waisrael wanayoyafanya eti kisa imani kwanza wewe kama ni mkristo halafu unasupport mauaji kwa kweli wewe ni mkristo jina.
Tuupinge huu unafIki wa Wamarekani na washirika wake katika kutuliza amani na demokrasia ya dunia.
achana nae ila ni kweli kuwa hayo maandiko yamo? :wacko: nataka kujua tu...!!!!
Wakuone wewe mtoto ili wafaidike na nini?acha kujijaza ujinga tu.
Kwanini usikatae wanachosema na rais wako anaenda huko marekani kila kukicha,unasema nini...acha unafki.
Wewe wauona ujinga wenzako kwao maarifa.Yasiyokuhusu achana nayo-utapasua kichwa bure.
Duh kumbe imekuuma eh...itakuwa umeshindwa kufanya hivyo...omba msaada tu...tuko humu kujifunza pia.Mkuu, wewe ni mvivu wa kutafiti mambo. Ndo maana ume quote comment za watu wengi kwenye comment yako moja.
.
'huko' neno sahihi ni 'uko'.Kwanza umesema wewe huko upande wa Israel.
Nina hakika hujaelewa mada. Heading ya thread inaashiria which side the writer ameegemea. Na content yanyumbua ulalamishi wake dhidi ya matendo ya israel kuwa si sahihi. Na comments zangu nafafanua jinsi gani watu kama wewe walivyowashabiki kwa kufuata kelele za wengine pasipo utafiti.Hiyo ni failure! hapa tunajaribu kueleza nani tunauona kakosea na kwa lipi.
Naona sasa umeanza kupayuka kwa jazba na kashfa. Natetea ukweli na kamwe siambatani na wapotoshaji kama wewe.Hutaweza hata siku moja kuwa myahudi na hata ukiwatetea vipi hawawezi kukukubali.
Hata hao wapalestina si ndugu zako pia.Hao watu si ndugu zetu wala watanzania wenzetu.
Unawaita watu wajinga kwa kutoa view zao.
Naona unataka ukiranja mkuu humu JF, utasubiri sana.Tulia, jadili wape nafasi watu nao waongee. Kuwa na amani mkuu. Enjoy JF
kwa kwli mimi mnaoisapoti israel au boko haram kwa misingi ya udini huwa nawashangaa, ni lini uliskia israel au saudiarabia wametoa kauli kuhusu vifo vya waafrika hata kutokana na ebola,, lakini akifa mwarabu au muisrael cc tunatukanana na tunaangalia mauaji hayo kwa misingi ya udini,
ubaya mmoja waisrael wengi sio wakristo na wanawaona wakristo kama wamepotoka kimafundisho, lakini cha ajabu israel inapofanya makosa bado haohao wakristo utaona wanaitetea israel kwa misingi ya udini
Us ni mauaji makubwa...haya Ma US damu yamemwaga sana sanaa sana
Hao hao unaowasema wauaji waarabu wenzako wanawapigia magoti wawasaidie kuwaondoa ISIL huko Iraq na Syria sasa hapa mjinga nani???[/QUO
Mjinga wewe unaesema mm ni mwarabu!!
Hao hao unaowasema wauaji waarabu wenzako wanawapigia magoti wawasaidie kuwaondoa ISIL huko Iraq na Syria sasa hapa mjinga nani???[/QUO
Mjinga wewe unaesema mm ni mwarabu!!
Mwarabu gani wamepigia magoti USA we hujaona USA ndio anawapigia magoti warabu, hukuona Obama alivyo pinda kumsalimia King wa Saud Arabia. USA alitengeneza hicho kikosi ili kimuondoe Assad alipo shindwa kaona sasa kimewageuzia ubao, ni yale yale ya Osama :cool2: Mimi bado nauliza hivi wakristo bado tu mnaiamini bibilia kama dhambi zenu kazibeba Yesu. Aisay ningekuwa mimi navaa msalaba basi ningefanya dhambi kuliko za firauni mana sina dhambi.Hao hao unaowasema wauaji waarabu wenzako wanawapigia magoti wawasaidie kuwaondoa ISIL huko Iraq na Syria sasa hapa mjinga nani???
Utajikomba sana na kuremba sana maneno yako lakini huwezi hata siku moja kuwafanya wakristo wawachukie Wayahudi hata kama si wakristo huwezi kuwatenganisha kwa kauli dhaifu kama hizo,Wakristo si watu wa kukaririshwa kama wewe umekaririshwa nawe unawachukia Israel ukiambiwa na mtu tumia na akili yako kuchambua.
Mwarabu gani wamepigia magoti USA we hujaona USA ndio anawapigia magoti warabu, hukuona Obama alivyo pinda kumsalimia King wa Saud Arabia. USA alitengeneza hicho kikosi ili kimuondoe Assad alipo shindwa kaona sasa kimewageuzia ubao, ni yale yale ya Osama :cool2: Mimi bado nauliza hivi wakristo bado tu mnaiamini bibilia kama dhambi zenu kazibeba Yesu. Aisay ningekuwa mimi navaa msalaba basi ningefanya dhambi kuliko za firauni mana sina dhambi.

Namie apo ndo wanapinishangaza, dhambi kazibeba Mungu wao, sasa ndo nini kwenda kufanya confession? :-D