Unafiki wa TCU

Unafiki wa TCU

Cna maana hiyo ila kuna changamoto zinachangia kupata matokeo mabaya kuna tofauti kati ya kuishi na wazazi wako na asie mzazi wako baadhi ya watu hawana imani na maisha yako

Umeniacha na maswali....." Kuna haja gani ya kuendelea kupoteza muda shuleni ili hali wajua kabisa una changamoto na una hakika hutakuja kufaulu kamwe??
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.

Na chakushangaza hata katika shule yao ya kimaskini aliyosoma wapo waliofaulu pia
 
Umeniacha na maswali....." Kuna haja gani ya kuendelea kupoteza muda shuleni ili hali wajua kabisa unachangamoto na unahakika hutakuja kufaulu kamwe??
Point ni kufaulu vizuri na kufaulu vibaya kwa mtu mwenye maisha magumu hawezi kukata tamaa ya kusoma kwasababu anategemea kujenga maisha ya baadae unayajua maisha yako magumu ila utapasi lakini sikwa matokeo mazuri lakini mbele umeenda mfano ndo iwe mimi niseme sisomi tena kisa ntakuja kupata matokeo mabaya wapo wanaoacha ila ntakuja kufeli sio kupata matokeo mabaya unatakiwa uangalie pande mbili wote wanaosoma shule za kata wana maisha kama yako?
 
Na chakushangaza hata katika shule yao ya kimaskini aliyosoma wapo waliofaulu pia
kwel rubii ,
Tulikaza na kupga msul wa kutosha bila kusahau kushare material.
Kila kitu kina wezekana kama utakua na nia na icho kitu unachokitafuta.
Ata kama utakua katka maisha magum
 
Ila utapasi lakini sikwa matokeo mazuri

Enhe, Unawezaje kupass kwa matokeo mabaya??
Tatizo lenu kusoma hamtaki busy facebook instagram kupekenyua maubuyu...kutwa kuchaa mpo jamiiforum kumshabikia mbowe na kinana mnasahau wajibu wenu kama wanafunzi na mwisho mtavuna mliyopanda.
 
kwel rubii ,
Tulikaza na kupga msul wa kutosha bila kusahau kushare material.
Kila kitu kina wezekana kama utakua na nia na icho kitu unachokitafuta.
Ata kama utakua katka maisha magum

Kabisa mpendwa!! Ni kujitambua tu unataka nini na utakipataje basi
 
mbao wengi wao ni wajuzi wa nadharia tu. Nani hajui umahiri wa DIT na Chuo cha TANESCO enzi hizo katika kutoa wataalam kwa fani husika. Tusipende kutanua magoli ilimradi tu wengi wapite.
WW FIKRA ZAKO NI NDOGO SANA HASA KWA KARNE HII
 
Alopata zero na alopata 3 nani anaambiwa kafeli? Ucongee ki2 ambacho hukijui uchungu wake qoutes zako nyingi zinashabikia mambo mzuri tu kwenye mabaya unaponda don't be like that
 
Hivi TCU wanatoa lini majibu ya maombi ya programe tulizo omba?
 
Alopata zero na alopata 3 nani anaambiwa kafeli? Ucongee ki2 ambacho hukijui uchungu wake qoutes zako nyingi zinashabikia mambo mzuri tu kwenye mabaya unaponda don't be like that

Unataka niponde mazuri nishabikie mabaya??
SIwezi kuwa mnafiki mpendwa wangu
Kila mtu atavuna alichokipanda
 
Dada una mahaba mazito na ccm sijapata kuona[emoji30] [emoji30]

Akili zako kama macho ya DJ!
Hapa ni jukwaa la elimu na hata mtoa mada hajaongelea habari za vyama.
Hata hivyo...ulifanikiwa kuongeza ukubwa wa uuume wako mpendwa??
 
Unataka niponde mazuri nishabikie mabaya??
SIwezi kuwa mnafiki mpendwa wangu
Kila mtu atavuna alichokipanda
Penye ukweli toa ukweli penye baya ongea inavotakiwa sio kua nlisoma ya kimackin nikafaulu vizuri kwaio waliofeli wote wamefeli maksudi? Hii great thinkers ni vyema kutokua na ushabiki wa pande yeyote na kuhusu nakuhusu upande wangu maisha si mazuri ila namshkuru Mungu cjwah kufeli naendelea mbele kila matokeo
 
Nilisoma shule ya watoto wa masikini na nilifaulu vizuri...
Jitahidi kufikiria mbali,,usiangalie uwezo wako peke yako ila unapaswa kuangalia uwezo wa watu wote hasa masikini ambao ndio kundi lengwa zaidi kutokana na kukosekana kwa vitendea kazi vingi kama vitabu,n.k vinavyowafanya kupata ufaulu wa kati
 
Penye ukweli toa ukweli penye baya ongea inavotakiwa sio kua nlisoma ya kimackin nikafaulu vizuri kwaio waliofeli wote wamefeli maksudi? Hii great thinkers ni vyema kutokua na ushabiki wa pande yeyote na kuhusu nakuhusu upande wangu maisha si mazuri ila namshkuru Mungu cjwah kufeli naendelea mbele kila matokeo

Okay.
Ukweli ni huu mpendwa!
Zunguka pande zote! kufaulu na kufeli hakuangalii utajiri wala umasikini wako.
Wapo maskini wamesoma kwa shida zaidi ya unazozifahamu na wamefaulu kwa kishindo,... Wapo pia matajiri waliosoma kwa raha na starehe zote na wamefeli!

Kila sehemu kuna utaratibu wake bi dada,
Kama pasi ni A3 na watu wengi wamezipata
wewe umepata A1 kisa ni masikini upitishwe tu,
au upite kwa kigezo cha wengine wamepata 0 wewe umepata hiyo A1 umefaulu

hiyo kitu hakuna my dear

Kiwango na utaratibu ni uleule kwa maskini na matajiri
 
Jitahidi kufikiria mbali,,usiangalie uwezo wako peke yako ila unapaswa kuangalia uwezo wa watu wote hasa masikini ambao ndio kundi lengwa zaidi kutokana na kukosekana kwa vitendea kazi vingi kama vitabu,n.k vinavyowafanya kupata ufaulu wa kati

Katika hao matajiri wapo wanaofaulu na wanaofeli pia katika maskini wapo wanaofeli na kufaulu
 
Okay.
Ukweli ni huu mpendwa!
Zunguka pande zote! kufaulu na kufeli hakuangalii utajiri wala umasikini wako.
Wapo maskini wamesoma kwa shida zaidi ya unazozifahamu na wamefaulu kwa kishindo,... Wapo pia matajiri waliosoma kwa raha na starehe zote na wamefeli!

Kila sehemu kuna utaratibu wake bi dada,
Kama pasi ni A3 na watu wengi wamezipata
wewe umepata A1 kisa ni masikini upitishwe tu,
au upite kwa kigezo cha wengine wamepata 0 wewe umepata hiyo A1 umefaulu

hiyo kitu hakuna my dear

Kiwango na utaratibu ni uleule kwa maskini na matajiri
Umackin haumfelishi mtu kama utakuwa aware na unachokifanya wapo mackin kweli wamepac vizuri tu ila kinachohitajika afya nzuri na furaha apo utaweza kufanya unachokitaka na kama furaha na afya cmuhimu kwenye kutafuta kucngekuwa na wanasaikolojia kila kitu kina changamoto za kurejesha nyuma maendeleo na kam sio hivo kwann nchi nyingi za Africa zipo nyuma kimaendeleo wakati nyengine zimepata uhuru mapema ttzo nini changamoto ila sio kama hazina maendeleo
 
Katika hao matajiri wapo wanaofaulu na wanaofeli pia katika maskini wapo wanaofeli na kufaulu
Kama umackin ni njia mojawapo ya kurejesha nyuma maendeleo ya nchi hatuna budi kukubali kuwa baadhi ya wanaopata matokeo mabaya kuna changamoto zinachangia unahangaika kuipata nauli ili uende skuli unaenda unasoma unarud unaingia kufanya kazi za ndani ikifika ucku unashika book umechoka ucngiz unakupitikia cku inaenda bure mwisho unakuta cku zimeisha huwezi kuwa sawa na mwenye maisha ya furaha
 
Umackin haumfelishi mtu kama utakuwa aware na unachokifanya wapo mackin kweli wamepac vizuri tu ila kinachohitajika afya nzuri na furaha

Asante kwa kubali kama umaskini si kigezo cha kufeli wala kufaulu kwa mtu....
Sasa hapo kwenye afya na furaha ndugu yangu, Je ni kweli wanaofeli hawana afya nzuri pia wanahudhuni?
 
Back
Top Bottom