Unafiki wa TCU

mafimboo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
2,415
976
Tanzania bado ni nchi ya kusikitisha duniani ,inatia huruma ,tatizo kubwa la tanzania ni kuwa na wanasiasa sehemu ambazo zinahitaji wataalamu mathalani kama TCU,katika tangazao lao la kupandisha viwango vya ufaulu kuingia vyuo vikuu linaonekana kujaa siasa na ubabe na kuwalenga zaidi watoto wa shule za kata na watoto wa masikini wanaosoma kwenye shule zisizo na ubora tangazo linasomeka kifupi

1;'kutokana na wadau kulalamika kuwa wasomi wa sasa hawana ushindani (wabovu)kwenye soko la ajira'

2;vyuo vya kati vinakosa wanafunzi kwa sababu wengi wanakimbilia vyuo vikuu

sababu hizi ni dhaifu na fedhea kwa taasisi kubwa kama TCU
Mosi TCU haijawahi kukusanya maoni kuhusu ubora wa elimu ya vyuo vikuu,kama iliwahi kukusanya iwataje wadau waliotoa maoni ikiwemo vyuo vikuu husika pamoja na shule ,TCU inatakiwa ituambie sababu zilizotumika mwaka 2010 kupunguza viwango vya kuingilia vyuo vikuu,na kwanini watoe sababu hizo kipindi cha serikali mpya,walishindwa nini kuzitoa kipindi cha Jakaya

Pili vyuo vya kati kukosa wanafunzi inatokana na diploma zinazotolewa kukosa ubora na kutokujitosheleza kwenye soko la ajira ndio maana inakimbiwa elimu ya shahada ndio inayojitosheleza kidogo kwenye ajira
kitendo cha kupunguza idadi ya wasomi wa degree ni ajenda ya siri ya serikali ya awamu ya tano labla inalenga kuua baadhi ya vyuo ama kupunguza wasomi wa elimu ya juu,katika nchi yenye wakazi zaidi ya milioni 52.unadiriki kupunguza wasomi ni kuharibu taifa;

TCU imeshindwa kutambua kuwa elimu ni haki ya kimsingi ya mwananchi bila kumuwekea vikwanzo vya kisiasa ikifahamika wazi kuwa serikali shule zake nyingi hasa za kata hazina vigezo ,ikiwemo kukosa walimu,vitabu vya kiada ,madawati ,maabara na madarasa huwezi kutegemea mtoto wa shule ya kata aende chuo kikuu kwa mazingira haya haiwezekani,

Vyuo wataenda watoto wa shule za international za vigogo na matajiri tu wenye shule zilizokamilika na zenye gharama kubwa,na huu ni mwanzo wa kuanzisha na KUIMARISHA ELIMU YA MATABAKA,Kimsingi serikali ya jpm imelenga kuwadhoofisha watoto wa shule za kata kwa kudhamiria,hakuna sababu yoyote ya kuchangia madawati wakati watoto wetu hawatafanikiwa kusoma elimu ya vyuo
 
Tanzania bado ni nchi ya kusikitisha duniani ,inatia huruma ,tatizo kubwa la tanzania ni kuwa na wanasiasa sehemu ambazo zinahitaji wataalamu mathalani kama TCU,katika tangazao lao la kupandisha viwango vya ufaulu kuingia vyuo vikuu linaonekana kujaa siasa na ubabe na kuwalenga zaidi watoto wa shule za kata na watoto wa masikini wanaosoma kwenye shule zisizo na ubora tangazo linasomeka kifupi
1;'kutokana na wadau kulalamika kuwa wasomi wa sasa hawana ushindani (wabovu)kwenye soko la ajira'
2;vyuo vya kati vinakosa wanafunzi kwa sababu wengi wanakimbilia vyuo vikuu
sababu hizi ni dhaifu na fedhea kwa taasisi kubwa kama TCU
mosi TCU haijawahi kukusanya maoni kuhusu ubora wa elimu ya vyuo vikuu,kama iliwahi kukusanya iwataje wadau waliotoa maoni ikiwemo vyuo vikuu husika pamoja na shule ,TCU inatakiwa ituambie sababu zilizotumika mwaka 2010 kupunguza viwango vya kuingilia vyuo vikuu,na kwanini watoe sababu hizo kipindi cha serikali mpya,walishindwa nini kuzitoa kipindi cha jakaya
pili vyuo vya kati kukosa wanafunzi inatokana na diploma zinazotolewa kukosa ubora na kutokujitosheleza kwenye soko la ajira ndio maana inakimbiwa elimu ya shahada ndio inayojitosheleza kidogo kwenye ajira
kitendo cha kupunguza idadi ya wasomi wa degree ni ajenda ya siri ya serikali ya awamu ya tano labla inalenga kuua baadhi ya vyuo ama kupunguza wasomi wa elimu ya juu,katika nchi yenye wakazi zaidi ya milioni 52.unadiriki kupunguza wasomi ni kuharibu taifa;
TCU imeshindwa kutambua kuwa elimu ni haki ya kimsingi ya mwananchi bila kumuwekea vikwanzo vya kisiasa ikifahamika wazi kuwa serikali shule zake nyingi hasa za kata hazina vigezo ,ikiwemo kukosa walimu,vitabu vya kiada ,madawati ,maabara na madarasa huwezi kutegemea mtoto wa shule ya kata aende chuo kikuu kwa mazingira haya haiwezekani,vyuo wataenda watoto wa shule za international za vigogo na matajiri tu wenye shule zilizokamilika na zenye gharama kubwa,na huu ni mwanzo wa kuanzisha NA KUIMARISHA ELIMU YA MATABAKA,Kimsingi serikali ya jpm imelenga kuwadhoofisha watoto wa shule za kata kwa kudhamiria,hakuna sababu yoyote ya kuchangia madawati wakati watoto wetu hawatafanikiwa kusoma elimu ya vyuo
Lakini na wewe ulishangilia na bado unashangilia! Afadhali mnaanza kuona athali za kutofuata sheria na kutoa matamko!
 
Hili la kupandisha viwango ni sawa kabisa. Tena TCU wamechelewa sana. Kumbukeni elimu sio chuo kikuu tu. Tunahitaji watu katika ngazi za cheti na diploma pia katika maendeleo ya nchi. Hawa ndio watendaji haswa na wanakuwa na "hands on skills" za utendaji kuliko "graduates" ambao wengi wao ni wajuzi wa nadharia tu. Nani hajui umahiri wa DIT na Chuo cha TANESCO enzi hizo katika kutoa wataalam kwa fani husika. Tusipende kutanua magoli ilimradi tu wengi wapite.

Me nahic tcu na necta wanategemeana kupandishwa kwa point nahic kuingia vyuo kunatokana na badget ya serikal walioipanga na km sio hivo
1)kwann ilivuma kua degree wataenda wenye div1 na 2 tumeona 3 wameenda wachache

2) kwann muongozo wa point za kuingia degree haukutoka mpm ulitoka kabla ya cku chache na matokeo ya f6 kwa maana ya kua waangalie ufaulu wa wanafunz kutoka necta ndio watoe maamuz

3) kwann admission guidebook ilitoka baada ya matokeo hakitoka km kawaida cku zake zinavotoka
 
Hili la kupandisha viwango ni sawa kabisa. Tena TCU wamechelewa sana. Kumbukeni elimu sio chuo kikuu tu. Tunahitaji watu katika ngazi za cheti na diploma pia katika maendeleo ya nchi. Hawa ndio watendaji haswa na wanakuwa na "hands on skills" za utendaji kuliko "graduates" ambao wengi wao ni wajuzi wa nadharia tu. Nani hajui umahiri wa DIT na Chuo cha TANESCO enzi hizo katika kutoa wataalam kwa fani husika. Tusipende kutanua magoli ilimradi tu wengi wapite.
unafikiri ni jambo la busara kumlipa mhasibu mwenye BBA mshahara wa juu kuliko mwenye diploma ya engineering katika ofisi moja ya serikali,Hujaelewa mada, diploma zinadharauliwa na serikali .hadhi thaminiwi
 
Me nahic tcu na necta wanategemeana kupandishwa kwa point nahic kuingia vyuo kunatokana na badget ya serikal walioipanga na km sio hivo
1)kwann ilivuma kua degree wataenda wenye div1 na 2 tumeona 3 wameenda wachache

2) kwann muongozo wa point za kuingia degree haukutoka mpm ulitoka kabla ya cku chache na matokeo ya f6 kwa maana ya kua waangalie ufaulu wa wanafunz kutoka necta ndio watoe maamuz

3) kwann admission guidebook ilitoka baada ya matokeo 'hakitoka' km kawaida cku zake zinavotoka

Unazo hoja za msingi kabisa, lakini uandishi wako ni kero. Hata kama unapungunza gharama za kulipia 'MB/megabytes', hii inaondoa radha ya usomaji hoja zako.
 
unafikiri ni jambo la busara kumlipa mhasibu mwenye BBA mshahara wa juu kuliko mwenye diploma ya engineering katika ofisi moja ya serikali,Hujaelewa mada, diploma zinadharauliwa na serikali .hadhi thaminiwi
Sasa
Me nahic tcu na necta wanategemeana kupandishwa kwa point nahic kuingia vyuo kunatokana na badget ya serikal walioipanga na km sio hivo
1)kwann ilivuma kua degree wataenda wenye div1 na 2 tumeona 3 wameenda wachache

2) kwann muongozo wa point za kuingia degree haukutoka mpm ulitoka kabla ya cku chache na matokeo ya f6 kwa maana ya kua waangalie ufaulu wa wanafunz kutoka necta ndio watoe maamuz

3) kwann admission guidebook ilitoka baada ya matokeo hakitoka km kawaida cku zake zinavotoka[/QUOTE

Unaweza kuwa na hoja hapa. Nakubaliana na wewe kabisa. Lakini tusiogope ushindani. Labda tulaumu "timing" ya mabadiliko yenyewe.
 
unafikiri ni jambo la busara kumlipa mhasibu mwenye BBA mshahara wa juu kuliko mwenye diploma ya engineering katika ofisi moja ya serikali,Hujaelewa mada, diploma zinadharauliwa na serikali .hadhi thaminiwi
Sasa unaharibu "thread" kwa hoja hii ya malipo. Watumishi wote serikalini hawawezi kuwa na "degree". Kuna kada ambazo sifa zake ni cheti na diploma. Labda tuishauri serikali irekebishe miundo ya utumishi na si kwamba suluhisho ni kwa waajiriwa wote kuwa na "degree". Hata hivyo ukipitia ngazi ya cheti na diploma, bado unakuwa na fursa ya kusoma chuo kikuu bila shida.
 
Nilisoma shule ya watoto wa masikini na nilifaulu vizuri...
Yes Rubii ilo linawezekana ila it depends on your life kwa mfano unasoma shule ya mackin una wazazi kamili ata kama mackini ila you live happy life au ata kama si wazazi wako ila unaishi maisha ya furaha hata kama mackini lakini iwe ulkuwa na wazazi wako mama kijana baba mzee anakutegemea ww umsaidie kisha mama ndo anakusomesha unaamka cku moja asubuhi unaambiwa mama kafa bila ugonjwa then baba hali yake ya kuktegemea ww kisha mackini unaishi na mtu wako wa karibu anakufanyia mambo ya ajabu huku unaaoma nauli ya skuli y kesho unaiwaza Darasani huna mzaz wa kukupa wachilia njaa itoe ukirud ho me kazi za ndan zinakusubir ucpofanya utajuta unaamshwa asubuhi upike ndo uende skuli huku nauli ya skuli unaiuangaikia mwenyewe unapoteza mda kumfata mtu akugaie ukifika hana unarudi ushapoteza mda skuli huendi whats kind of life utapac i la kwa shida nothing is important for success in life than good health and happy
 
EXCELENT
NIHERI WANGESEMA BAJET MWAKA HUU HAIRUHUSU NA MWENYE KUJIWEZA AJISOMESHE MWENYEWE
KWEL HIYO NI SIASA ILIYOTUMIKA NA WALIOWAKOMOA NI SHULE ZA KATA ZISIZO NA VITENDEA KAZI VYA KUJIFUNZIA
NA HIZO POINT ZAO NI MEANINGLESS
ALAF UKIJA KWA UPANDE WA DIPLOMA PIA NI MAKOSA MAKUBWA KUDAILI KWA GPA3.5 SABABU SIO STANDARD KWA KILA CHUO
MFANO; SUA COURSE WORK NI 50%
NA VYUO VINGINE NI 40%
ALAF KWA VYUO VINGINE HASWA VYA PRIVATE GPA KUBWA ZINATOLEWA TU KAMA NJUGU

NINI NAMANISHA;
KWANZA ELIMU IBORESHWE KUANZIA NGAZ YA CHINI
KAMA MIUNDO MBINU YA KUJIFUNZIA

MFANO HAI AZANIA NI SHULE KUBWA TU KTK MKOA WA DSM
JE, NINI KILICHOPELEKEA KUSHIKA MKIA UNAWEZA KUJIULIZA
ILA MCHAWI WAO ALIKUA NI WALIMU HASA WA HISABAT NA ALIPATIKANA BAADA YA MWAKA 1 WANAFUNZI KUINGIA KTK MTIAN YAAN WALIKAA MWAKA MZIMA BILA YA MWALIMU WA SOMO HILO NA KAMA MNAVYOIJUA ADVANCED MATHS ILIVYO IKIFUATIWA NA MIUNDOMBINU MIBOVU
JE, NAN ARAUMIWE IKIWA KAMA GOVT SCHOOL
SO UKISEMA WATOTO HAWASOMI HIYO NI MINOR KESI WAKAT MAJOR KESI NDIO HIZO
 
Yes Rubii ilo linawezekana ila it depends on your life kwa mfano unasoma shule ya mackin una wazazi kamili ata kama mackini ila you live happy life au ata kama si wazazi wako ila unaishi maisha ya furaha hata kama mackini lakini iwe ulkuwa na wazazi wako mama kijana baba mzee anakutegemea ww umsaidie kisha mama ndo anakusomesha unaamka cku moja asubuhi unaambiwa mama kafa bila ugonjwa then baba hali yake ya kuktegemea ww kisha mackini unaishi na mtu wako wa karibu anakufanyia mambo ya ajabu huku unaaoma nauli ya skuli y kesho unaiwaza Darasani huna mzaz wa kukupa wachilia njaa itoe ukirud ho me kazi za ndan zinakusubir ucpofanya utajuta unaamshwa asubuhi upike ndo uende skuli huku nauli ya skuli unaiuangaikia mwenyewe unapoteza mda kumfata mtu akugaie ukifika hana unarudi ushapoteza mda skuli huendi whats kind of life utapac i la kwa shida nothing is important for success in life than good health and happy

kwahiyo walinaofeli wote wanaishi maisha hayo ndio maana wanafeli?
 
kwani watu wamefeli?? Ina maana km kusingekuwa na mabadiliko ya viwango hao watu unaofikiri wamefeli ungesema wamefeli au wamefaulu??

Wapi nimesema watu (wewe na wenzako) wamefeli??
Wapi nimeongelea mabadiliko ya viwango?
 
Tanzania bado ni nchi ya kusikitisha duniani ,inatia huruma ,tatizo kubwa la tanzania ni kuwa na wanasiasa sehemu ambazo zinahitaji wataalamu mathalani kama TCU,katika tangazao lao la kupandisha viwango vya ufaulu kuingia vyuo vikuu linaonekana kujaa siasa na ubabe na kuwalenga zaidi watoto wa shule za kata na watoto wa masikini wanaosoma kwenye shule zisizo na ubora tangazo linasomeka kifupi
1;'kutokana na wadau kulalamika kuwa wasomi wa sasa hawana ushindani (wabovu)kwenye soko la ajira'
2;vyuo vya kati vinakosa wanafunzi kwa sababu wengi wanakimbilia vyuo vikuu
sababu hizi ni dhaifu na fedhea kwa taasisi kubwa kama TCU
mosi TCU haijawahi kukusanya maoni kuhusu ubora wa elimu ya vyuo vikuu,kama iliwahi kukusanya iwataje wadau waliotoa maoni ikiwemo vyuo vikuu husika pamoja na shule ,TCU inatakiwa ituambie sababu zilizotumika mwaka 2010 kupunguza viwango vya kuingilia vyuo vikuu,na kwanini watoe sababu hizo kipindi cha serikali mpya,walishindwa nini kuzitoa kipindi cha jakaya
pili vyuo vya kati kukosa wanafunzi inatokana na diploma zinazotolewa kukosa ubora na kutokujitosheleza kwenye soko la ajira ndio maana inakimbiwa elimu ya shahada ndio inayojitosheleza kidogo kwenye ajira
kitendo cha kupunguza idadi ya wasomi wa degree ni ajenda ya siri ya serikali ya awamu ya tano labla inalenga kuua baadhi ya vyuo ama kupunguza wasomi wa elimu ya juu,katika nchi yenye wakazi zaidi ya milioni 52.unadiriki kupunguza wasomi ni kuharibu taifa;
TCU imeshindwa kutambua kuwa elimu ni haki ya kimsingi ya mwananchi bila kumuwekea vikwanzo vya kisiasa ikifahamika wazi kuwa serikali shule zake nyingi hasa za kata hazina vigezo ,ikiwemo kukosa walimu,vitabu vya kiada ,madawati ,maabara na madarasa huwezi kutegemea mtoto wa shule ya kata aende chuo kikuu kwa mazingira haya haiwezekani,vyuo wataenda watoto wa shule za international za vigogo na matajiri tu wenye shule zilizokamilika na zenye gharama kubwa,na huu ni mwanzo wa kuanzisha NA KUIMARISHA ELIMU YA MATABAKA,Kimsingi serikali ya jpm imelenga kuwadhoofisha watoto wa shule za kata kwa kudhamiria,hakuna sababu yoyote ya kuchangia madawati wakati watoto wetu hawatafanikiwa kusoma elimu ya vyuo
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
 
kwahiyo walinaofeli wote wanaishi maisha hayo ndio maana wanafeli?
Cna maana hiyo ila kuna changamoto zinachangia kupata matokeo mabaya kuna tofauti kati ya kuishi na wazazi wako na asie mzazi wako baadhi ya watu hawana imani na maisha yako
 
Kama umeelimika ungekumbuka angalizo muhimu la maisha. Usifanye maamuzi ukiwa na hasira. Makala hii umeiandika kwa hasira.
Mambo haya hayataki hasira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom