Unafiki wa prime time promotion

Unafiki wa prime time promotion

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
Kwenye masuala ya burudani, kampuni ya Prime Time Promotion
ilijipatia zabuni ya Sh milioni 194.7. kumbe nao ni moja wa taasisi zinazoibomoa hii nchi,bse nao wametajwa ktk taasisi zilizo shiriki kwenye ufisad wa kutisha . shame on you.
 
Hao kampuni moja na ila ya Ruge inayolalamikiwa kwa kuwaonea wasanii, unatarajia nini toka kwao?
 
Ijaze NYAMA banaaa.
 
Kwenye masuala ya burudani, kampuni ya Prime Time Promotion
ilijipatia zabuni ya Sh milioni 194.7. kumbe nao ni moja wa taasisi zinazoibomoa hii nchi,bse nao wametajwa ktk taasisi zilizo shiriki kwenye ufisadi wa kutisha . shame on you.
Fafanua vizuri Hilo ni Dili au?
 
Kama ni kweli million 194.7 zimelipwa kwa ajili ya Mic speakers tu !kwa mda wa siku mbili tu ! Kisha wakizipokea pasipo kuwaonea huruma walipa kodi wanyonge itakuwa ni dhahili ule usemi usemao Kufa kufaana au mgeni njoo wenyeji wapone .umejidhihilisha vyema hii Ndio Tanzania zaidi ya uijuavyp
 
Acheni kuwa haters, prime time promotion ni kampuni ya ukweli ndo maana wajanja tunaikubali na tunaisuport coz jamaa wanajua wanachokifanya.
 
Hao kampuni moja na ila ya Ruge inayolalamikiwa kwa kuwaonea wasanii, unatarajia nini toka kwao?

wanaolalamika wengi ni chuki binafsi but not maaslahi, kama inshu ni maaslahi si ku mikataba jamani?
 
DUU microphone,speakers kwa siku 2 wanachaji zaidi ya million 100,si bora idara ya habari ikanunua vifaa vyake ambavyo hata 10m haifiki.HUU UFISADI WA KUTISHA
 
Acheni kuwa haters, prime time promotion ni kampuni ya ukweli ndo maana wajanja tunaikubali na tunaisuport coz jamaa wanajua wanachokifanya.[/QUOT wewe nawee,,,yaan unajiona bonge la mjanjaa eti,,,we two days watu wamekula mil 194, unaleta mambo ya kisharobaro hapa,,,toa hoja, sio unabana pua...nyonyonyooo haters! Mxiuuu]
 
wanaolalamika wengi ni chuki binafsi but not maaslahi, kama inshu ni maaslahi si ku mikataba jamani?
Yaani unaongea without thinking,,mkataba ni nn? C mtu anaingia kwenye computer ana type wanasainishana mabilioni? Wewe uliza huyo mtu ana any evidence na huo ubadhirifu? Then kama ndio,,je service walotoa inaendana na hiyo hela? Pia, hapo unaweza wauliza ma experts kwenye sekta ya burudani inayofanana na hao prime kama hiyo amount ni sahihi,,,yhen utacheki accuracy, reliability, na vitu vingine ku prove hilo, sio unatoa povu jeipe tu hapa, bila logic! Nyambafu
 
Back
Top Bottom