MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Kuishabikia chadema inabidi uwe na akili ya msukule. Kwanini Chadema ikifikia suala la uchaguzi linaongelewa mnakuwa wakali hivi?
Akili za kinyesi hzi.
Kuishabikia chadema inabidi uwe na akili ya msukule. Kwanini Chadema ikifikia suala la uchaguzi linaongelewa mnakuwa wakali hivi?
Kama kweli Nape aliiwakilisha CCM kwenye uchaguzi wa Chadema 2009 kwa uongo na unafiki anaoufanya hata sala zake anazosali huwa zinaenda kwa Mungu wake wa uongo ambaye ni shetani.
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.
kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.
huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.
Huu kama sio unafiki ni nini?
Nilishasema na narudia tena kusema (Mods mkipenda nipigeni BAN ingawa sidhani kama nimevunja kanuni za hapa). Ni hivi "huwezi kuwa mwanathithimwewe kama upstairs kuko sawa" kwanza unapaswa kuwa msahaulifu ili uwe mwanaCCM!!!!!!
Na mimi shuhuda........nilikuwapo siku ile ya mwaka 2009
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.
kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.
huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.
Huu kama sio unafiki ni nini?
michadema mingi imerukwa na akili
HEBU JIBU HII KWA UFASAHA
YAMETIMIA? chadema kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - WASIRA
CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mahusiano Stephen Wassira amesema chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kitakumbwa na mgogoro mkubwa ndani ya kipindi kifupi kijacho.
Wassira amesema mgogoro huo ndio utakaopelekea kusambaratika vibaya chama hicho na kubaki historia hapa nchini.
Amesema mgogoro huo utahusiana na Uongozi na kuwaomba wananchi wavumilie kidogo ili washuhudie anachokisema.
Wassira amesema CDM ni chama cha hovyo na cha ajabu kilichojaa ubinafsi wa hali ya juu.
Amesema CDM kimekuwa kikipinga kila kinachofanywa na serikali ya CCM na kwao CDM hakuna zuri la CCM tangu uhuru wa Taifa hili.
Source: Majira Jumapili, 20 MAY, 2012
------------------------------------------------------------------------
UPDATES:
---------------
Wassira pia alimshambulia vikali Muasisi wa CDM Edwin Mtei kwamba aliianzisha CDM kama kampuni ya kifamilia na kwamba hata sasa CDM ni NGO ya Edwin Mtei.
Mada ni unafiki wa Nape na CCM, kama kueleza ukweli ni kula Nundu kama unavyosema basi Nundu hiyo ni tamu sana na acha niile huku nacheza pipoz power.
Rudi kwenye mada!
NUNDU unayolishwa na DISKO JOKER MBOWE imekulevya kabisa
Nape anatikwa ajue kuwa mwenyekiti wa chama chake ni dikteta kwa kuwa hakuwahi kuchaguliwa kidemokrasia kwa kushindanishwa na wenzake wowteWewe unaona Unafiki wa nape, mimi nauona wa Zitto na Kitila, sababu na wao walishiriki uchaguzi huo? ni kitu gani kinawafanya wasambaze propadanga kwamba Mbowe kakaa madarakani muda mrefu wakati wanajua anatumia kipindi chake cha pili kikatiba.
Jina lako kwa tafsiri ya Kiswahili na hata kwa lugha ya kikwetu ni choo au toilet kwa lugh ya mkoloni, sasa msalani na nepi ni vitu vyeye ukaribu sana, well jibu swali la mleta uzi, nepi alihudhuria uchaguzi wa CHADEMA au hakuhudhuria!?Kuishabikia chadema inabidi uwe na akili ya msukule. Kwanini Chadema ikifikia suala la uchaguzi linaongelewa mnakuwa wakali hivi?
Kuishabikia chadema inabidi uwe na akili ya msukule. Kwanini Chadema ikifikia suala la uchaguzi linaongelewa mnakuwa wakali hivi?
wapumbavu pekee ndio watakuunga mkono
Kumbe na huyu mchumia tumbo ni zao la mikesha ya mwenge!!!!!Kamanda umesahau ule ugonjwa wa Nape. Siku akimjua baba yake naamini atakua na akili.