Mada ni unafiki wa Nape na CCM, kama kueleza ukweli ni kula Nundu kama unavyosema basi Nundu hiyo ni tamu sana na acha niile huku nacheza pipoz power.
Rudi kwenye mada!
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.
kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.
huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.
Huu kama sio unafiki ni nini?
Mkuu
Heshima yako! nimeitafuta sana hii picha! hii ndio ilikuwa siku ambayo uchaguzi huo ulifanyika na hapo Nape alikuwa anaambiwa aje CHADEMA. kipindi hicho alikuwa anaonekana ana akili maana alikuwa anapinga ufisadi na baadae alitongoza kuruhusiwa kuja CHADEMA kwa sharti la kupewa nafasi kugombea ubunge jimbo la Ubungo.
Mkuu,Mada ni unafiki wa Nape na CCM, kama kueleza ukweli ni kula Nundu kama unavyosema basi Nundu hiyo ni tamu sana na acha niile huku nacheza pipoz power.
Rudi kwenye mada!
chagadema bila tindikali na sumu mambo hayaendi
Ni mwehu tu ndie anayeweza kumtetea Nape kwenye hilo. Ndio wale wale wenye kuendeleza siasa za maji taka za kupinga kila kitu kinachofanywa na mpinzani wako.
Hii ni sawa na CHDEMA walivyofanya kwa akina Kitila na Zitto, kutoa hukumu kabla ya kuwasikiliza.
Eti wajitetee baada ya kuhukumiwa! Hii ni ajabu kwenye ulimwengu wa demokrasia na haki.
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.
kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.
huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.
Huu kama sio unafiki ni nini?
michadema mingi imerukwa na akili
And the answer is,
1.The struggle for political power is by all means,
2.Maintaining The Political power is by all means,
POOLITICIANS WANALITAMBUA HILO
YEYE ASUPOFANYA HIVYO ATAKULA WAPI??NA WEWE USIPOFANYA HIVI UTAKULA WAPI??
:tape: