Unafiki wa Nape na CCM

Kama kweli Nape aliiwakilisha CCM kwenye uchaguzi wa Chadema 2009 kwa uongo na unafiki anaoufanya hata sala zake anazosali huwa zinaenda kwa Mungu wake wa uongo ambaye ni shetani.

Nape huwa anasali?
 
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.

huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?

Na mimi shuhuda........nilikuwapo siku ile ya mwaka 2009

6113984.jpg
 
Nilishasema na narudia tena kusema (Mods mkipenda nipigeni BAN ingawa sidhani kama nimevunja kanuni za hapa). Ni hivi "huwezi kuwa mwanathithimwewe kama upstairs kuko sawa" kwanza unapaswa kuwa msahaulifu ili uwe mwanaCCM!!!!!!

wapumbavu pekee ndio watakuunga mkono
 
Na mimi shuhuda........nilikuwapo siku ile ya mwaka 2009

6113984.jpg

Mkuu

Heshima yako! nimeitafuta sana hii picha! hii ndio ilikuwa siku ambayo uchaguzi huo ulifanyika na hapo Nape alikuwa anaambiwa aje CHADEMA. kipindi hicho alikuwa anaonekana ana akili maana alikuwa anapinga ufisadi na baadae alitongoza kuruhusiwa kuja CHADEMA kwa sharti la kupewa nafasi kugombea ubunge jimbo la Ubungo.
 
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.

huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?

HEBU JIBU HII KWA UFASAHA

YAMETIMIA? chadema kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - WASIRA

CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mahusiano Stephen Wassira amesema chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kitakumbwa na mgogoro mkubwa ndani ya kipindi kifupi kijacho.

Wassira amesema mgogoro huo ndio utakaopelekea kusambaratika vibaya chama hicho na kubaki historia hapa nchini.

Amesema mgogoro huo utahusiana na Uongozi na kuwaomba wananchi wavumilie kidogo ili washuhudie anachokisema.

Wassira amesema CDM ni chama cha hovyo na cha ajabu kilichojaa ubinafsi wa hali ya juu.

Amesema CDM kimekuwa kikipinga kila kinachofanywa na serikali ya CCM na kwao CDM hakuna zuri la CCM tangu uhuru wa Taifa hili.

Source: Majira Jumapili, 20 MAY, 2012
------------------------------------------------------------------------
UPDATES:
---------------
Wassira pia alimshambulia vikali Muasisi wa CDM Edwin Mtei kwamba aliianzisha CDM kama kampuni ya kifamilia na kwamba hata sasa CDM ni NGO ya Edwin Mtei.
 
Hapa unataka nimjibu wasira kuwa Chadema ina sambaratika au haisambaratiki? Hii sio hoja kwenye mjadala labda kama utaanzisha thread nyingine, kwenye mjadala mada ni "Unafiki wa Nape na CCM" wewe unachotakiwa ni kujibu au kuleta vielelezo kuhusiana na mada.

kama ulikuwa unajibu maswali hivi shuleni Division 5 ni haki yako na kwa ulivyo changia nakushauri rudi tena ukafanye homework.
 
Mada ni unafiki wa Nape na CCM, kama kueleza ukweli ni kula Nundu kama unavyosema basi Nundu hiyo ni tamu sana na acha niile huku nacheza pipoz power.

Rudi kwenye mada!

mgosi mtoi mwambie huyo mburula aelewe na kujikita kwenye mada sio analeta upuuzi kwenye ishu za maana.
 
NUNDU unayolishwa na DISKO JOKER MBOWE imekulevya kabisa

Sasa nimeng'amu kuwa kuna watu akili zao hazifanyi kazi. Hebu firiri kama mnaweza kutumia nguvu yote hiyo kupambana na CDM chama ambayo wewe mwenyewe unakiri kinaongozwa na Disko Joker.? Midubwana hamlali mnakesha kwa mahangaiko. Mnatumia polisi na vyombo vigine kudhibiti chama ambacho unasema kiongozi wao ni Disko Joker ama kweli hamnazo nyie.
Kama mmemshindwa Disko Joker mtamweza nani nyie. Ndo maana mpaka leo watanzani ni maskini wa kutupwa kwa kuwa chama chenu hakina vichwa vya kuweza kuleta mabadiliko wa Watanzania. Hata chama unachosema kinaogozwa na Disko Joker mmekishindwa ? Hii ni aibu kubwa kwako mwenyewe mwenye kuandika maneno hayo. Mmeshindwa na Disko Joker pamoja na kuwa mna vyombo vyote mnavyohitaji kuwadhibiti.
 
Je Nape ana kumbukumbu kwa chama chake kinaendesha nafasi ya uenyekiti kiudikteta? wenyeviti wote wnne tangia nchi hii imepata uhuru hawajawahi kushindana katika uchaguzi kwakuwa Nape hawezi kukumbuka ya miaka mingi iliypita, nimuulize Mwenyekiti wake wa sasa alishindanishwa na nani?
 
Wewe unaona Unafiki wa nape, mimi nauona wa Zitto na Kitila, sababu na wao walishiriki uchaguzi huo? ni kitu gani kinawafanya wasambaze propadanga kwamba Mbowe kakaa madarakani muda mrefu wakati wanajua anatumia kipindi chake cha pili kikatiba.
Nape anatikwa ajue kuwa mwenyekiti wa chama chake ni dikteta kwa kuwa hakuwahi kuchaguliwa kidemokrasia kwa kushindanishwa na wenzake wowte
 
Kuishabikia chadema inabidi uwe na akili ya msukule. Kwanini Chadema ikifikia suala la uchaguzi linaongelewa mnakuwa wakali hivi?
Jina lako kwa tafsiri ya Kiswahili na hata kwa lugha ya kikwetu ni choo au toilet kwa lugh ya mkoloni, sasa msalani na nepi ni vitu vyeye ukaribu sana, well jibu swali la mleta uzi, nepi alihudhuria uchaguzi wa CHADEMA au hakuhudhuria!?
 
nepi akisikia chadema anatetemeka mwili mambo ya uchaguzi wa chadema inamuhumu nini okey ndo walikuwa wamemwandaa mnafiki mwenzao zitto ha ha ndotoza kichaa
 
Ni mwehu tu ndie anayeweza kumtetea Nape kwenye hilo. Ndio wale wale wenye kuendeleza siasa za maji taka za kupinga kila kitu kinachofanywa na mpinzani wako.

Hii ni sawa na CHDEMA walivyofanya kwa akina Kitila na Zitto, kutoa hukumu kabla ya kuwasikiliza.

Eti wajitetee baada ya kuhukumiwa! Hii ni ajabu kwenye ulimwengu wa demokrasia na haki.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom