Unafiki wa marafiki wa kibongo ndio huu..

Unafiki wa marafiki wa kibongo ndio huu..

Fungu la 10 peleka kwa wazazi wako Mkuu
 
Sasa status imeandikwa KIKOMBE HIKI NIKIEPUKE.MARA UTANIVUSHA SALAMA .nani akutafute aisee
 
cha maana hapo kuwa umejifunza kitu.. sidhani kama utafanya makosa kwenye kuelewa funzo lako... jisahau uone kama asaivi hujawaita mashetani...!
 
Mkuu "Labda Labda mama mzazi?" Nadhani unatania.Mama mzazi Kamwe hata kuwa LABDA.Mama mzazi Ni wa kupendwa Na kuaminiwa baada ya MwenyeziMungu kama unaamini MUNGU

Bila ya kumsahau HUYU rafiki[emoji116]
b174707a7670a9860ac753b34f71ca28.jpg
 
Back
Top Bottom