Ndio maisha yetu haya mnakutana na jamaa mnaanza kunafikiana khabari za masiku mbona hatuonani umekuwa adimu ambapo wote mnajua hizo ni lawama mnapeana mnajua za KINAFIKI .maisha bila unafki hayaendi
Nimefanya hii kitu mapema tulipouanza tu huu mwaka.Fanya ziara ya kushtukiza kwenye kwenye phonebook yako ondoa wasiofaa
Ulimbukeni huuBongo hakuna marafiki wala ndugu......labda labda mama mzazi
Truemaisha bila unafki hayaendi
Bongo hakuna marafiki wala ndugu......labda labda mama mzazi
Ndio maisha yetu haya mnakutana na jamaa mnaanza kunafikiana khabari za masiku mbona hatuonani umekuwa adimu ambapo wote mnajua hizo ni lawama mnapeana mnajua za KINAFIKI .
Ulimbukeni ganiUlimbukeni huu
Mkuu "Labda Labda mama mzazi?" Nadhani unatania.Mama mzazi Kamwe hata kuwa LABDA.Mama mzazi Ni wa kupendwa Na kuaminiwa baada ya MwenyeziMungu kama unaamini MUNGU