Unafiki wa mama yangu na dada zangu

Unafiki wa mama yangu na dada zangu

Siumesema anaondoka kesho,basi mpe Makavu yake ili siku nyingine hata km haupo asiweze kurudia huo Umwinyi.
 
Kweli kila familia ina taratibu zake..Yaani kila mtu baada ya kula anaenda kuosha chombo chake mwenyewe..Na hadi mgeni akija akishakula na yeye kwenye sink kuosha vyombo..
Sure..Hata sisi home mtu akila anaosha chombo chake..Japo sio lazima..Ila sio kwa wageni
 
Mkuu we piga kimya tu as long as wenye nyumba haiwasumbui..Ila kama sista au Maza akija kulalamika juu ya hilo au akikwambia uongee na jamaa ndo ufanye hivyo
 
Unakoelekea utavas chupi kichwani... Unawezaje kumuita mama mnafiki???


Hapo kwenu kila mmoja anaosha chombo chake...


Ustaarabu na Ujinga umetengwa na mstari mwembamba... Unaweza kufikiri uMstaarabu kumbe uMjinga.
 
Ayo ni malez aliyolelewa familia nying tu wanaume wamezoea hawafanyi kaz zozote za ndan so ye anajiona yuko sawa kabsa kama unaona anakukera bora umwambie kuliko unavyokaa kimya we ndo unakua mnafki sasa
 
Aiseee.... So hao walengwa wapo JF?? Hujiskii vibaya kumuita mtu aliyekuleta duniani mnafiki?? Wewe unashindwa nini kumwambia mwanaume mwenzio anayoyafanya sio hadi uje useme huku??? Staili ya kila mtu kuosha chombo chake nayo?????? Kiukweli tu wewe ndo mnafiki hujitambui.......
 
Huyo nduguyo ana element halisi za kiume siyo wewe ulizoea kuchekacheka na kushinda na dada zako na Mama.
Kwa sisi wanaumme wa kanda ya ziwa hatuna hizo time kuosha vyombo wakati dada zangu wapo.
 
Hii header ya uzi huu inanishangaza! "Unafiki wa mama yangu na dada zangu"???

Na hii mada ni kuhusu huyo ndugu yako sio kuhusu mama na dada zako!!!!!!

I didn't get you about the header, the header is talking about the mother and the sisters but the thread is talking about something else!!!
 
Tatizo hapo ni kuosha vyombo au huo msosi anaokula?yaelekea wewe ni mchoyo sana mkuu..
 
Dah..mama mnafiki? Kwa kweli nimehuzunika sana kuona mama anaitwa mnafiki bila sababu za msingi na hata zikiwa za msingi mama hawezi kuwa mnafiki hata siku moja, sasa kwanza mbona mnaishi ki-local sana yaani ukinywa chai unaosha kikombe duh
 
Huo unafiki wa mama na dada zako mbona haujaonekana? Labda wangelalamika pembeni tungesema mengine, lakini hapa mnafiki ni wewe unayeumia na hali halisi halafu humuoneshi kwamba anakukera, hivi wajua kuwa kinyongo ni hatari kwa afya?
 
Back
Top Bottom