Unafiki wa mama yangu na dada zangu

Unafiki wa mama yangu na dada zangu

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
6,532
Reaction score
11,028
Habarini wadau,

Kwa takribani wiki mbili sasa nipo nyumbani kwetu (kwa baba na mama) baada ya kuchukua likizo ya mwezi mmoja kazini, hapa nyumbani ninaye dada zangu wawili na dada wa kazi.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika, siku mbili baada ya mimi kuwasili hapa nyumbani akaja ndugu yetu mmoja wa kiume ambaye rika lake ni sawa na mimi huyu ndugu siyo mara yake ya kwanza kuja hapa nyumbani, kwa mujibu wa maelezo ya mama lakini kwa upande wangu tumeonana awamu hii kwa maana hiyo huwa anawatembelea mara kwa mara mimi nikiwa zangu mkoa mwingine kikazi.

Kinachonishangaza kuhusu huyu ndugu anavoishi hapa home, yaani yeye ni mtu ambaye hajishugulishi na chochote,yaani yeye ni kama boss hapa home.Muda wa msosi tunajumuika vizuri tu, lakini chombo atakacho piga msosi atakiacha hapohapo,hawa ndugu zangu ama mama huchukua jukumu la kumuoshea chombo chake.Hii hali imekuwa kero sasa kwa upande wangu maana binafsi nikirudi hapa home,nashiriki kila kitu muhimu cha hapa ikiwemo kuosha chombo changu ambacho nimepigia msosi.

Kiukweli imekuwa ni kero sana maana utakuta siku katoka,akirudi anakuta sisi tumeshakula na hivo msosi ulio bakia ni kwa ajili yake tu lakini ataishia kula na kuacha kila kitu hapo hapo mpaka glass aliyo nywea maji dada zangu watakuja kuvitoa na kwenda kuviosha.

Huyu ndugu analala na mimi,hivo mida ya asubuhi siku zingine huwa nawahi kuamka kwa ajili ya michakato yangu. Nikirudi ile sa nne nakuta kaamka,kaoga kakaa sebuleni lakini kitanda hata hakijatandikwa.Binafsi sina maneno mengi,ninachokifanya ni kutandika tu basi na kuendelea na mishe.

Nb; kinacho niuma zaidi mother anafahamu kila kitu lakini haongei lolote yaani hata kikombe cha kunywea chai anakiacha hapohapo, hata kwenda tu kukisuuza ni kazi wadau, maana karo la kuoshea vyombo liko ndani humuhumu.Ingekuwa ni mara yake ya kwanza kuja hapa home nisingemlaumu kwa kufanya hivo, lakini wanadai ni mara nyingi tu huwa anakuja na anafanya hivyohivyo.

Vipi wadau, tatizo huwa ni nini? Je, nimchane live ama nimpotezee? Maana jamaa anaondoka kesho.
 
Habarini wadau,kwa takribani wiki mbili sasa nipo nyumbani kwetu(kwa baba na mama) baada ya kuchukua likizo ya mwezi mmoja kazini.hapa nyumbani ninaye dada zangu wawili na dada wa kazi.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika,siku mbili baada ya mimi kuwasili hapa home akaja ndugu yetu mmoja hiv wa kiume ambaye rika lake ni sawa na mimi tu.huyu ndugu siyo mara yake ya kwanza kuja hapa home kwa mujibu wa maelezo ya mama lakini kwa upande wangu tumeonana awamu hii.kwa maana hiyo huwa anawatembelea mara kwa mara mm nkiwa zangu mkoa mwingine kikazi.

Kinacho nishangaza kuhusu huyu ndugu anavoishi hapa home,yaani yeye ni mtu ambaye hajishugulishi na chochote,yaani yeye ni kama boss hapa home.Muda wa msos tunajumuika vizur tu,lakini chombo atakacho piga msos atakiacha hapohapo,hawa ndugu zangu ama mama huchukua jukumu la kumuoshea chombo chake.Hii hali imekuwa kero sasa kwa upande wangu,maana binafsi nikirud hapa home,nashiriki kila kitu muhimu cha hapa ikiwemo kuosha chombo changu ambacho nimepigia msosi.kiukweli imekuwa ni kero saana maana utakuta siku katoka,akirudi anakuta sisi tumeshakula na hivo msos ulio bakia ni kwa ajili yake tu..lakini ataishia kula na kuacha kila kitu hapo hapo mpaka glass aliyo nywea maji..dada zangu watakuja kuvitoa na kwenda kuviosha.

Huyu ndugu analala na mimi,hvo mida ya asubuh siku zingine huwa nawah kuamka kwa ajili ya michakato yangu.nikirud ile sa nne nakuta kaamka,kaoga kakaa sebuleni lakn kitanda hata hakijatandikwa.Binafsi sina maneno mengi,ninacho kifanya ni kutandika tu basi na kuendelea na mishe.

Nb..kinacho niuma zaidi mother anafahamu kila kitu lakin haongei lolote.yaani hata kikombe cha kunywea chai anakiacha hapohapo,hata kwenda tu kukisuuza ni kazi wadau.maana karo la kuoshea vyombo liko ndani humuhumu.Ingekuwa ni mara yake ya kwanza kuja hapa home nisingemlaumu kwa kufanya hivo,lkn wanadai ni mara nyingi tu huwa anakuja na anafanya hivohvo.

vp wadau,tatzo huwa ni nini? je,nimchane live ama nimpotezee? maana jamaa anaondoka kesho
Huyo ni ndugu yako kivipi?mahusiano yenu yakoje?
 
Ndugu mama hata akikosea vipi ni kosa zaidi kumsema na kumuita majina ya ajabu ajabu!ongea na huyo ndugu kua hupendezwi na hiyo tabia na ikiwezekana aiache mara moja kwa upole lakni na sio kwa jazba!
 
Kuna watu wanapenda kufanyiwa kila kitu na wenzao,mwambie hata kumtawaza kinyesi chake awe anawaachie wengine wamfanyie.
Huyo jamaa kimsingi inatakiwa umwambie hiyo ni tabia mbaya sana kuona yeye ni wa kufanyiwa kila kitu,mwambie maisha hayaendi hivyo anawakwaza watu wengi na hata kwake akifanya hivyo atachokwa na wanawe halikadhalika mkewe.

Habarini wadau,kwa takribani wiki mbili sasa nipo nyumbani kwetu(kwa baba na mama) baada ya kuchukua likizo ya mwezi mmoja kazini.hapa nyumbani ninaye dada zangu wawili na dada wa kazi.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika,siku mbili baada ya mimi kuwasili hapa home akaja ndugu yetu mmoja hiv wa kiume ambaye rika lake ni sawa na mimi tu.huyu ndugu siyo mara yake ya kwanza kuja hapa home kwa mujibu wa maelezo ya mama lakini kwa upande wangu tumeonana awamu hii.kwa maana hiyo huwa anawatembelea mara kwa mara mm nkiwa zangu mkoa mwingine kikazi.

Kinacho nishangaza kuhusu huyu ndugu anavoishi hapa home,yaani yeye ni mtu ambaye hajishugulishi na chochote,yaani yeye ni kama boss hapa home.Muda wa msos tunajumuika vizur tu,lakini chombo atakacho piga msos atakiacha hapohapo,hawa ndugu zangu ama mama huchukua jukumu la kumuoshea chombo chake.Hii hali imekuwa kero sasa kwa upande wangu,maana binafsi nikirud hapa home,nashiriki kila kitu muhimu cha hapa ikiwemo kuosha chombo changu ambacho nimepigia msosi.kiukweli imekuwa ni kero saana maana utakuta siku katoka,akirudi anakuta sisi tumeshakula na hivo msos ulio bakia ni kwa ajili yake tu..lakini ataishia kula na kuacha kila kitu hapo hapo mpaka glass aliyo nywea maji..dada zangu watakuja kuvitoa na kwenda kuviosha.

Huyu ndugu analala na mimi,hvo mida ya asubuh siku zingine huwa nawah kuamka kwa ajili ya michakato yangu.nikirud ile sa nne nakuta kaamka,kaoga kakaa sebuleni lakn kitanda hata hakijatandikwa.Binafsi sina maneno mengi,ninacho kifanya ni kutandika tu basi na kuendelea na mishe.

Nb..kinacho niuma zaidi mother anafahamu kila kitu lakin haongei lolote.yaani hata kikombe cha kunywea chai anakiacha hapohapo,hata kwenda tu kukisuuza ni kazi wadau.maana karo la kuoshea vyombo liko ndani humuhumu.Ingekuwa ni mara yake ya kwanza kuja hapa home nisingemlaumu kwa kufanya hivo,lkn wanadai ni mara nyingi tu huwa anakuja na anafanya hivohvo.

vp wadau,tatzo huwa ni nini? je,nimchane live ama nimpotezee? maana jamaa anaondoka kesho
 
Kweli kila familia ina taratibu zake..Yaani kila mtu baada ya kula anaenda kuosha chombo chake mwenyewe..Na hadi mgeni akija akishakula na yeye kwenye sink kuosha vyombo..
 
Huoni kuwa na ww ni mnafiki kama hujamfikishia ujumbe unauleta hapa JF au ataupata huku mkuu
 
Kuna jamaa alikuwa hivyo hivyo jirani yangu,watoto wanaambiwa ni ndugu yao,usiku wanalala naye ,mchana mother akirudi kazini kijana anaingia chumbani kwa mother kwa siri, watoto kuja kustuka kumbe baba yao.
 
"Unafiki wa mama yangu".

sidhani kama ulichokiandika unakimaanisha kutoka moyoni.

Na kama hayo maneno yanatoka ndani ya moyo wako,jua kwamba umemkosea mno mama.

Mama ni mama tu, huwezi jua mpaka sasa unaandika maneno haya alijitolea kiasi gani kwa ajiri yako, kule kukubali kwake kukuzaa na kukulea ni upendo tosha kwako.

Leo unamwita mnafiki!

Nahisi huyo ni mama wa kufikia si wa kukuzaa.
 
Habarini wadau,kwa takribani wiki mbili sasa nipo nyumbani kwetu(kwa baba na mama) baada ya kuchukua likizo ya mwezi mmoja kazini.hapa nyumbani ninaye dada zangu wawili na dada wa kazi.

Moja kwa moja twende kwenye mada husika,siku mbili baada ya mimi kuwasili hapa home akaja ndugu yetu mmoja hiv wa kiume ambaye rika lake ni sawa na mimi tu.huyu ndugu siyo mara yake ya kwanza kuja hapa home kwa mujibu wa maelezo ya mama lakini kwa upande wangu tumeonana awamu hii.kwa maana hiyo huwa anawatembelea mara kwa mara mm nkiwa zangu mkoa mwingine kikazi.

Kinacho nishangaza kuhusu huyu ndugu anavoishi hapa home,yaani yeye ni mtu ambaye hajishugulishi na chochote,yaani yeye ni kama boss hapa home.Muda wa msos tunajumuika vizur tu,lakini chombo atakacho piga msos atakiacha hapohapo,hawa ndugu zangu ama mama huchukua jukumu la kumuoshea chombo chake.Hii hali imekuwa kero sasa kwa upande wangu,maana binafsi nikirud hapa home,nashiriki kila kitu muhimu cha hapa ikiwemo kuosha chombo changu ambacho nimepigia msosi.kiukweli imekuwa ni kero saana maana utakuta siku katoka,akirudi anakuta sisi tumeshakula na hivo msos ulio bakia ni kwa ajili yake tu..lakini ataishia kula na kuacha kila kitu hapo hapo mpaka glass aliyo nywea maji..dada zangu watakuja kuvitoa na kwenda kuviosha.

Huyu ndugu analala na mimi,hvo mida ya asubuh siku zingine huwa nawah kuamka kwa ajili ya michakato yangu.nikirud ile sa nne nakuta kaamka,kaoga kakaa sebuleni lakn kitanda hata hakijatandikwa.Binafsi sina maneno mengi,ninacho kifanya ni kutandika tu basi na kuendelea na mishe.

Nb..kinacho niuma zaidi mother anafahamu kila kitu lakin haongei lolote.yaani hata kikombe cha kunywea chai anakiacha hapohapo,hata kwenda tu kukisuuza ni kazi wadau.maana karo la kuoshea vyombo liko ndani humuhumu.Ingekuwa ni mara yake ya kwanza kuja hapa home nisingemlaumu kwa kufanya hivo,lkn wanadai ni mara nyingi tu huwa anakuja na anafanya hivohvo.

vp wadau,tatzo huwa ni nini? je,nimchane live ama nimpotezee? maana jamaa anaondoka kesho
Anyway, una maanisha kwamba kwa utamaduni wa familia yenu kila mtu huosha chombo anachotumia kwa chakula au nini hapa? unafaham pia huko alikokulia amelelewaje? Brother I see that this is not an issue at all, just a matter of life style
 
Kweli kila familia ina taratibu zake..Yaani kila mtu baada ya kula anaenda kuosha chombo chake mwenyewe..Na hadi mgeni akija akishakula na yeye kwenye sink kuosha vyombo..

Hata mimi hapo nimeshangaa,
Kila mtu aosha chombo chake mmh basi kasheshe.
Nadhani kutakua na foleni kwenye sink baada ya kula.
 
Mama ako unamuita MNAFIKI!!!
Unajitafutia laana ya maisha duniani mpk akhera.

Hlf inaonesha ww ni mbinafsi mwenye roho mbaya,
Hata mgeni akija kwako unamchunguza matonge yake,

Namsikitikia mwanamke utakae kuja kumuoa, maana ww ni mmbea mmbea utakua unamchonganisha mpk kwa ndugu zake,

Badilika ndugu.

Nimekuchana live:-D
 
Back
Top Bottom