Unafiki wa eddo kumwembe na ishu ya sammata

Unafiki wa eddo kumwembe na ishu ya sammata

kwani ngassa ameanza kusemwa leo,na anaemsema ni eddo tu hata mimi ningekuwa samatta nisingecchezea timu ya viduku,hii nchi mzalendo ni yule wa chini ila wale wanaouza nchi na maliasili zake ndio wazalendo,tatizo la watz wengi wetu wanafiki mbona kocha kamwita tena.kama jambo mtu hulijui nyamaza.
 
huyo stopila sunzu hana hata uzalendo wa mwili wake kwa sababu kabla ya yote anajichubua.
 
kwani ngassa ameanza kusemwa leo,na anaemsema ni eddo tu hata mimi ningekuwa samatta nisingecchezea timu ya viduku,hii nchi mzalendo ni yule wa chini ila wale wanaouza nchi na maliasili zake ndio wazalendo,tatizo la watz wengi wetu wanafiki mbona kocha kamwita tena.kama jambo mtu hulijui nyamaza.
+1....eti uzalendo ni soka tu...!
 
Sio kila kila kisichokufurahisha kinatoka kwa mnafiki. Ni mtazamo tofauti tu.
 
Ni kweli kabisa mkulu hata wskiambiwa kunywa maji haya ili hali ni acid kwakuwa amesema silaha watakunywa
 
Huku nako Siasa huwa inakuwepo? Ngoja nitafute jukwaa jingine.

magamba huyajui yameambiwa na mwenyekiti popote ulipo mtaje slaa makaburini, club,uwanjan, chooni, kanisam, msikitin had ukivuka barabara kayashika pabaya sana slaa
 
ni upumbavu kutaka kila mtu aamini unachoamini na asieamini hivyo kwako atakuwa na tatizo kichwani!kwamba wewe na fikra zako ndio kipimo cha ubora wa fikra na kwamba wengine LAZIMA waamini kama wewe,la sivyo hawako vizuri upstairs!!!

kwa mtazamo wangu mimi,Eddo ni kati ya waandishi na wachambuzi watatu wazuri kabisa wa soka hapa nchini.anaandika ukweli mara nyingi na kuwashauri wadau wote wa soka inapobidi.kwa ishu ya samatta,kwanza sidhani kama ile makala ni ya kumtetea.....amemkumbusha uzalendo lakini zaidi sana,amewataka watanzania kutomhukumu bila kujua vizuri nini kilitokea!
stopila sunzu ni mwajiriwa pamoja na samatta....haiwlazimishi wawe na mahusiano nje ya uwanja.baada ya game ya congo brazaville ambapo mbwana aliumia na kutoka,kwa mujibu wa mbwana,hawakuonana na hawakurudi tena mazoezini as msimu ulikuwa umekwisha.sasa stopila angejuaje kama dogo kajeruhiwa au vipi!?mwenyewe alisema hajui mbwana aliumia wapi au vipi.....so msimuhukumu dogo bila kujua!...ishu ya ngassa iko wazi mno na kwa akili ya kawaida ya mpenda michezo yeyote angetegemea dogo angechangamkia ofa ile.
msiufanye huu mjadala wa kishabiki kati ya hizi klabu zetu ''kongwe'' mbili(kubwa iko moja tu.azam pekee) au hisia binafsi kati ya mtu na eddo!
mtazamo wangu tu huu!
 
Me cio shabiki wa simba eti nimtetee ngasa bt samata du uzalendo hamna mpaka nafikiria wote wangekua mimi cku akikubali kuja tumzomee mpaka basi.we noin bwana kuna mastaa kibao tena na ela zao eg,etoo lkn wanawakilisha chama lao sembuse yy!pumbaaavu!
 
Back
Top Bottom