UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.
Mkuu,

Kujibishana na ZeMarcopolo ni kumpa umaarufu usio na sababu!!
Hana analojua zaidi ya Umbea, Uongo, Fitina, Ulaghai, Uzandiki na Majungu juha yule!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni sawa na mbwa koku, huna madhara. Tukupuuze tu.
 
Wana javi hivi hamuoni ndugu yericko nyerere anavo dhalilisha jina la baba wa Taifa..... yafaa tumuite NYENYERE
 
Usipoteze muda wako kumpigia mbuzi gitaa. Hatakuelewa. Nimeshasema CHADEMA ni kama dhahabu hata ikipitishwa kwenye moto ni lazima itan'gara tu. Foward Ever, Backward Never.
 
Go go go comrade usirudi nyuma Mungu yuko upande wako,lumumba wanajisumbua tunakuamini na tunakupenda
 
zemarcopolo yuko kwenye mission na kwa sababu madola yale yaliyotoka NMB kwenda ujerumani na kurudi Tanzania hayajaisha ze marcopolo yupo mpaka October 2015 watakapozabwa za uso

zemarcopolo kachukua lip service somewhere na sasa anaamini kaahidiwa, ni zao la wanasiasa wa zamani walioshindwa hata kujua kinondoni kama wilaya ina public owned land ya kiasi gani, ni zao la walioneemeka kupitia kwa wapishi na waramba miguu wa kambarage... hana chochote cha kusema atabenefit

in short he is an outsider to everything in the system, siasa za ccm, usalama, sekta yake ya fani aliyosomeshwa nk.

he doesnt know kwasababu ameamua kudhani he knows everything, it is sad, he was good back in the days, but whoever led him to siasa takataka ni wa kulaaniwa vikali... alikua level moja na vijana wengi tu ambao wameamua kubaki ccm lakini kuachana na uvuvuzela wa siasa za mipaho ya mitandaoni

things are changing, hata ninyi akina Ben you need to watch out, siasa ni zaidi ya majibizano yasiyo na tija, si kila hoja lazima ijibiwe, si kila uwazacho lazima kije public

it is a shame, but a very unfotrunate truth kwamba vijana hadi sasa hakuna kitu, every young Tanzanian with potential anaangukia palepale mnapoangukia, "thinking you are all that"!!!

VERY SAD FACT, AND THE WORST FOR SUCH A BEAUTIFUL AND LOVELY COUNTRY KAMA TANZANIA
 
Zemarcopolo ana akili ni basi anajitoa ufaham,mabandiko yake anategemea yamfungulie njia ya u-DC au u-MP
 
Mkuu ben zemarcopolo hana tofauti na kiazi ulaya ambacho ukikiweka juani kinabadirika rangi na kuwa cha kijani na hakitafaa kwa matumizi au ukikiweka ndani kinaoza au kuota na jumla ya yote hakitafaa kwa matumizi so zemarcopolo ni kiazi tuuuu
 
Mods wa JF wana kazi zo zenye heshima,hata siku moja huwez kuwakuta wanahangaika na wachumia tumbo na watu waliofeli kimaisha kama wewe na yericko,nani asiewafaham humu ndan kuwa nyinyi ni watu wa kujipendekeza kwa Wilbroad Slaa kwa kutumain eti akichukua nchi basi mtapata japo kazi ya ufagiz pale ikulu??mnaota ndoto za mchana sana,

THANKS MODS KWA KUPUUZA MATAPELI KAMA HAWA,SISI TUTAWAUNGA MKONO KATIKA KUWAPIGA VITA
 

Tapeli la gesi haitoki ukaja na gia ya watu kukuona unatetea wananchi kumbe equally ni mchumia tumbo unajipendekeza kwa Kinana nmng,oa pembe za ndovu au wassira muuaji wapinzani kwa mabomu ya kurushwa aibu nuwezi kuimba DR Slaa asubuhi mpaka usiku wa manane as if umewekwa kuwa prefect ujinga kuattack mtu mmoja tumekusoma sasa umefeli maisha kama hao unaowataja huna hoja zaidi ya book 7
 
Nyie vijana wa bavicha mnaopenda kuwafanya moderators ni vijakazi wenu. Ni nani asiekufahamu wewe kuwa unatumika? UNADHANI HAWA MODS NI WAJINGA KAMA ULIVYO?


Adhabu ya kusimamisha kugombea mwaka mmoja ndio ina impact gani kama sio danganya toto?
 
Last edited by a moderator:

we ben,unaposema mabadiliko ndani ya chama unamanisha nn??,kwako we mabadiliko ni nini??,kukiuka katiba na kujirefushia muda wa uenyekiti we kwako ni mabadiliko ndani ya chama.unabadilisha nn mdan ya chama??,huu si unafiki,unamsimamo gani wewe mpaka sasa unaoweza kusimama kwa watu ukasema tukakuelewa??zaidi ya kuchongea wenzako na kufitini kwa chini chini.kama ulikuwa unajua kila kitu kabla mbona kwa mambo ya viongozi wa juu wa chama tunayajua mengi na kama wewee ni spy mbona husemi??.huu sio unafiki??mbona wao juwaambii kwamba wanaenda kinyume??,KUJIMOMBAKOMBA hakudumu.

jina halijengwi kwa unafiki na majungu na kujipendekeza,simamia upande mmoja sio unauma huku na huku kisha unapuliza,nakufahm sana tangu unaanza mambo ya siasa mpaka sasa ama unataka nianike kila kitu chako hapa.??, jaribu kuwa na msimamo.nikwambie tu kwamba nakujua sana,kuamka mpaka kulala kwako,.mfano trh.09-11.2013, saa 00:45 - 01:14,ulikuwa wapi na akina nani na mlipanga nni??,mbona hii husemi??,kwa nn unazunguka wenzako??,
 
Last edited by a moderator:

"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka

Cc FaizaFoxy Ritz
 
Last edited by a moderator:

"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka

Cc FaizaFoxy Ritz
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…