Unafiki huu wa CCM utaisha lini

Unafiki huu wa CCM utaisha lini

wacha kulia Lia mwaego tusi liko wapi?

Rudi usome comment zako wakati ukinijibu...humu tupingane,tupeane changamoto,tujenge hoja,tutoe sababu ya vyama vyetu kuwa bora kuliko vingine,tujistahilishe kuwa tunaweza kushika dola LAKINI sio kwa matusi,aah no!
 
Mleta mada unaweza kuwa una hoja ila inaonekana pia upeo wako katika hili ni mdogo sana
Kama unashindwa kuelewa ilani na sera za chama ndio huendesha serikali

Takwimu hupingwa kwa takwimu
Inawezekana wakaongeza kweli mikopo kwa asilimia 300 lakini ikawa haijakidhi mahitaji ya wahitaji mikopo hata kwa asilimia 30
 
umeshindwa kujenga hoja,ukaanza kwa kunitusi,labda urejee tena bila matusi,mstaarabu hatukani hizo ni dalili za kushindwa kama sio kushindwa kwenyewe.

1.ccm imeshindwa kuwashughulikiwa wezi wa EPA, DOWANS, TEGETA ESCROW watu wamepiga hela ILA bado wapo mtaani
2. Huduma mbovu hospital wagonjwa wanalala chini dawa hamna, fisadi akiugua anapelekwa nje ya nchi na kutembelea gari za kifahari, Baba yangu analazwa chini hospital Dr anamwangalia mwenye nacho bado uniambie makufuli!!;
3. Huduma mbovu shuleni, wanafunzi wanakaa chini huku mtoto WA fisadi anasoma st Mary anakuja kuchukuliwa na gari
4. Umeme ghali
5. Maji hayapatikani kwa wakati, mtaa wetu mwezi maji hamna Ni kawaida!! Hebu niambie mshahara wangu mdogo dumu la maji Ni buku, sijalipa Ada, umeme sijalipa!!
6.foleni zimezidi ela ya kutengeneza barabara nyingi za uhakika kaiba fisadi
6.mlituulia mwandishi wet mbeya na kesi mpaka sasa haieleweki
7. Mikataba ya madini hatuielewi haiwekwi wazi tukaelewa wananchi
yaani nikisikia mtu anashabikia na anaelewa Ni jinsi gani tunataabika naboreka kwa kweli, kama na wewe Ni mtanzania unatusaliti na kumtumai fisadi!!!
8. Mfumuko WA bei ndiyo unaniumiza kabisa na hela yetu kushuka thamani na deni la taifa kuzidi baada ya kupunguuuu..... Yaaya gete, uligwa makufuli Ni kabila langu ILA siangalii Hilo, naangalia mtu atakayeweza kutujali wananchi wake kama anavyojali familia yake na keki ya taifa sio wale wao Tu, tule wote na tutaabike wote
 
Rudi usome comment zako wakati ukinijibu...humu tupingane,tupeane changamoto,tujenge hoja,tutoe sababu ya vyama vyetu kuwa bora kuliko vingine,tujistahilishe kuwa tunaweza kushika dola LAKINI sio kwa matusi,aah no!

ok, nimefuta kauli. Njoo unipe japo machache mazuri ya ccm yet nzuri, inayojali wananchi wake!!! Karibu tena!
 
Ila mkuu aheri smz wanatoa pension ya elf 20, je ni sawa na mpango wa TASAF III ambao wanatoa elf 8 mia tano kwa mwez?

Mkuu issue si wanachotoa kina unafuu gani, kama ni kidogo ni kidogo tu there's no way to sugar coat it! Hivi umeshajiuliza Meja/Jenerali wao wanalipwa kiasi gani? Hawa ni watu walio_risk maisha yao(with life dedicated service) then hivi ndiyo tunawaenzi? Tunawaenzi au kuwa_mock?
 
Mi nawashangaa sana watanzania cjuimtumelogwa na nan Mungu wangu?nashangaa unakutana nalimtu linashabikia ccm afu ukiliangalia ni lijirani langu na nnalidai kodi afu mi mwenyewe nyumba nmeijenga kwakujiangaikia ktk shughulizangu zakiufundi ambazo nmeamua kujiatafutia baada yakukosakazi nikiombwa uzoefu baada yakutoka chuo,mi nmekichukia hikichama maana najiangaikia mwenyewe na nnauwezo wakula nyama kilacku kupitia kujiongoza nakazi yangu ambayo haina muwakilishi hata mmoja bungeni yaufundi ujenzi ambayo inapelekea wageni wachina kutupangia kias chafedha wanachotakawao watulipe nasi tumekubali kwasababu,tumekosa serikeli yakulicmamia hili afu leo nalikuta limtu limekomaa nje ya nyumbayangu linaifurahia serikali ya majambazi ambayo watotowao hatujui wamefanyakazi wapi nakujipatia miutajiri waliyonayo,Mungu mmoja nalipa notis leoleo likalale kwamagufuli na chama chao,coz c kinamfaa?

Hahahaha..punguza hasira mkuu, baadhi ya Watanzania huwezi kuwakomboa kifikra. Yaani CCM imekwisha lemaza akili yao kiasi kwamba Srrikali ikifanya jambo(wajibu) wanadhani ni favor!
 
Unafiki mwingine ni pale Mwenyekiti alipoanza kumwaga sifa za Pombe, wakati alikuwa ANAPIGANA kwa nguvu zake zooote asipite. UNAFIKI mkubwa! Halafu eti, "akimwona kandarasi aliyeharibu barabara kazi hana pale pale", wakati ukweli ni kuwa Kikwete mwenyewe alikuwa KIKWAZO kikubwa kwa utendaji wa Waziri. Unafiki kwa kwenda mbele!

Na hapa ndipo JK anapokosea na Magufuli(as his weakness yake ya kutaka sifa), anadhani kila kitu kufukuza, na hiyo pengine ni kumpa umaarufu kisiasa na kuonekana mchapa kazi.
 
Mleta mada unaweza kuwa una hoja ila inaonekana pia upeo wako katika hili ni mdogo sana
Kama unashindwa kuelewa ilani na sera za chama ndio huendesha serikali

Takwimu hupingwa kwa takwimu
Inawezekana wakaongeza kweli mikopo kwa asilimia 300 lakini ikawa haijakidhi mahitaji ya wahitaji mikopo hata kwa asilimia 30

Wewe mwenye uelewa mkubwa sana nisaidie, Ilani na sera za chama(cha kijani) zinasema nini kuhusu ufisadi, rushwa,?Zinasema nini kuhusu kauli mbiu za chama?

Hivi inahitaji elimu uelewa gani kutambua takwimu zilizosomwa na W/Mkuu si sahihi?(refer latest statistics/data za Hotuba ya Bajeti kwa mfano ya Serikali na upinzani)? Dunia ya sasa kila kitu ki wazi ukihitaji hizo takwimu unapata ni suala la jitihada binafsi tu(si kila kitu uletewe at your door).
 
Upinzani mnawayawaya sana mfano ni wewe mleta sledi sasa ngojeni nyundo za ugoko zinakuja Oktoba,hamtaamini.,,,Kweli JPM kawashika pabaya hadi nakuoneeni huruma.

Ni JPM huyu huyu mwenye papara? Huyu mwenye maamuzi ya haraka ili kupata sifa? Huyu huyu aliyepita kwa bahati nasibu? Sawa, Yeye aneshakwambia, "Nimehemewa sana".

Tukutane hiyo Oktoba.(Safari hii ni aatu kulinda kura zao hadi asubuhi, kupiga kura na kusubiri matokeo hakuna ile tena ya kusubiri matokeo nyumbani kupitia TV).
 
Back
Top Bottom