TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
MOD ondoa huu upupu...anajara nzi kwenye jamvi!~
wewe ni kilaza ama limbukeni?
Fikiri,then utagundua.
Kilaza
Hujajibu swali langu
Hakuna jibu!
Bei ya soda Africa Kusini inakaribia US$ 2, LAKINI mapato yao ni tofauti na sisi. Mshahara ambao Mkuu wa Idara analipwa hapa TZ hawezi kuishi Afrika kusini kwa wiki mbili. Watanzania wanacholalama ni kuwa mapato ni madogo, vitu ghali. Viatu vinavyouzwa TShs 35000 hapa TZ Afrika kusini ni Rand 1000 sawa na 180,000 wao kwa viwango vya mishahara yao wanaweza kununua.
Ndugu zangu;
Kuna mtu alikuwa analalamika kwamba serikali imesababisha bei ya bia kupanda toka 900/-TZS mpaka 1,500/-2004 to 2010.Nikamuuliza bei ya soda ya Coke nchini Kenya,Afrika Kusini au Marekani ilkuwa kiasi gani mwaka 2004 na leo ni kiasi gani???
Hizi ni siasa,ulimbukeni au ushabiki???Mfumuko wa bei katika ulimwengu wa utandawazi serikali ya ndani pekee ndo huwajibika??Au ni sisi tunawajaza ndugu zetu maarifa na taarifa nusunusu.????
Tutazidi kuachwa kwa style hii.
Bei ya coke marekani haijabadilika
kwa kupingana na ukilaza na ulimbukeni wako, bei za vitu vingi marekani zimeshuka
Bei ya coke marekani haijabadilika
kwa kupingana na ukilaza na ulimbukeni wako, bei za vitu vingi marekani zimeshuka
Bei ya soda Africa Kusini inakaribia US$ 2, LAKINI mapato yao ni tofauti na sisi. Mshahara ambao Mkuu wa Idara analipwa hapa TZ hawezi kuishi Afrika kusini kwa wiki mbili. Watanzania wanacholalama ni kuwa mapato ni madogo, vitu ghali. Viatu vinavyouzwa TShs 35000 hapa TZ Afrika kusini ni Rand 1000 sawa na 180,000 wao kwa viwango vya mishahara yao wanaweza kununua.
Ndugu zangu;
...