Unafanyaje ukifumania?

Hivi wewe, hujawa mwaminifu kwa ndoa yako, na uzee wako unakchukua kabinti, unadhani utakatosheleza katika mambo yote
kweli. Ndo yale mapenzi ya kizee yaliyosemwa hapa siku moja.

Ina maana huko kwenye ndoa watu hamwezi kukaa bila nyumba ndogo jamani. Kha basi acheni mchunwe weeeeeeeeeeeee,
wengine faidi.
 
Habari za muda huu


Naomba tuchangia hii mada inayosema,

"Ukimfumania Mpenzi Wako Unamfanyaje? Binafsi Ninaachana nae........
Karibuni sana
 
Mmh. Kiuhalisia kufumania kuna mengi jamaani na huwezi sema nitafanya hiki wakati hayajakukuta mubashara.

Na sio wote wana ubavu wa kufumania ndio sababu kuna wengine wakifika mlangoni tu basi ujue atazimia kama sio kufwa.
 
Upendo wa kweli una nguvu kuliko mauti.
Ni ngumu kuusemea kirahisi.
Kama una UPENDO utaelewa nini nasema.
 
Nampandisha level mpenzi namba mbili kuziba pengo litakalo achwa wazi na marehemu mpenzi wangu wa kwanza
 
Hivi haya mambo hadi kipindi hiki yapo au ilikuwa kipindi cha Mkwere tu
 
Sijawai kuwa na ushauri tofauti kwenye issue kama hii zaid ya kuachana na kuondoka na kila ambacho hakina utata(nina umiliki halali)
 
Kuhudumia wanawake wawili imekushinda baki njia kuu
Haiwezekani ulale kwa mkeo every night afu mtu aendelee kulala peke ake wkt hajaolewa kisa we unampa fedha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom