Unafanyaje ukifumania?

Wadau kesho nitakupeni current status ya hii saga as it stands today,najua MwanajamiiOne,Blueray,Shishi,Laligeni na wadau wengine watachukia lakini ndo ukweli wa maisha nitakavyoueleza.Ngoja niwahi kikao.
 
Hapo unafyata Mkia na Kukaa Kimya..maana huyo dogo akileta fujo kuwa unamharibia mahusiano na mchumba wake..akaanza kukupiga..watu wakaja sii aibu kubwa kwa mzee wa kanisa??

Hapo unaondoka tu na kurudi home kwa mkeo!
 
Wadau kesho nitakupeni current status ya hii saga as it stands today,najua MwanajamiiOne,Blueray,Shishi,Laligeni na wadau wengine watachukia lakini ndo ukweli wa maisha nitakavyoueleza.Ngoja niwahi kikao.

................ Ehe Bishanga nichukie nini tena ndugu yangu wakati its your life? imenibidi tu niwe mpole maan kaazi kweli kweli
 
Mzee wa kusambaza malaria,

ukimfumania mkeo unatakiwa ujifanyie evaluation wapi unakosea mpaka usaidiwe?

...nakuunga mkono mazee, kosa hufanyika tangu wakati wa kuchagua mchumba wa kuoa.
 
Wote wa wawili wana makosa. Dada (nyumba ndogo) kufanya vile ni kwa sababu hana huhakika wa future yake ya baadaye. Hawezi kuwa nyumba ndogo maisha yake yote hata kama anapewa kila kitu. Wakati wa sherehe km Idd, Xmas, mwaka mpya huwa anabaki peke yake akisubiri Baba atoroke mara moja na halafu arudi kwa first wife. Mzee hajaonyesha commitment yake kwake zaidi ya ku provide hizo consumer items.
 
Nina mtizamo tofauti vipi ukifumaniwa utafanya nini?
 
Teh teh teh sijaowa kamanda.....ila nadhani ingebidi nijadiliane na wote...!


Komredi kumbe Belly wetu unamchezea tu hebu turudishie fasta tumatafutie mwingine😀
 
Yule unamsamehe tu baada ya shughuli nzito.
Lakini huyu wife au kimada biashara ndo inakwisha hapo hapo namwachia mgoni.

Kamanda sisi marafiki ukinifumania nafaidi shem wangu utanidhuru kweli?
 
Mi nakuachia jumla kamanda kwa nini tukosane wkt totoz zipo nyingi mkuu.

Nipe namba ya shem nianze naye ...wewe poa sana kamanda si wengine akikufumania anataka kukuabisha wakati hujabaka mkewe unamsaidia tu!
 
Mi nakuachia jumla kamanda kwa nini tukosane wkt totoz zipo nyingi mkuu.


hahah dogo unasema ivo hiyo mabibo hosteli inawapa kibri kweli lakini kitu umeweka ndani wezele wezele guu guu eti unamwachia rafiki tu ivi ivi?
 
Huo ndio mshahara wa dhambi yote hayo unayafanya kwa sababu wewe ni mtumwa wa dhambi na si vinginevyo,acha dhambi huenda mkeo hana hata hiyo harrier uliyomnunulia huyo nyumba ndogo,embu acha hiyo tabia na tubu dhambi zako na rejea kwa mkeo mjenge upya mapenzi yenu.Mfanyie mkeo hayo uliyokuwa unamfanyia huyo bi mdogo utaona raha ya ndoa,wengine huwaacha wake zao kwa sababu maumbo yao yamekuwa shape less mpeleke jim
 


Kama ni small house kwa kumaanisha nyumba ndogo, huna jinsi zadi ya kula ganzi na kusongesha gurudumu la maisha kwa familia yako...
Means Ukomeeeeeee....
Pata picha ingekua umefumaniwa na mkeo, ungetaka akufanyaje....

But if its a marriage couple, hakuna haja ya kupani,
Tafuta chanzo cha mkasa wote,
Na kama ni tabia ya huyo mwenza wako, basi jitahidi kumsaidia kubadirika,

Itaposhindikana, huna jinsi zaidi ya kuanza upya...
Fikiria ndani ya mahusiano yenu alishakusamehe mangapi makubwa zaidi ya hilo???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…