Macbook Air inakupa portability ila Mac-mini inakupa specs za juu kwa bei ile ile.Mkuu, nipo kwenye uhitaji. Nawaza niende na Air M2 16GB au Nitulie na Mini afu nitafute display?
Hii ni free mbona, download tuKama kuna mtu ana Davinci ya Mac free tafadhali naomba
Sahivi video editing, Tena sio tu home nyingine tutakua mkoa au site,Macbook Air inakupa portability ila Mac-mini inakupa specs za juu kwa bei ile ile.
Hapo inategemea kipi unakipa priority; kati ya portability na convenience au uwezo.
Matumizi yako ni yapi?
Mac mini ni nzuri kama utafanya kazi sehemu moja. Ila kama situation ni kama hiyo kuwa home au mkoa, bora Air maana mini itakuhitaji kuwe na supported monitor popote unapoenda.Sahivi video editing, Tena sio tu home nyingine tutakua mkoa au site,
Mhh limit kama zipi mkuuMpo sahihi sana wakuu kwenye hizo Mac, ila binafsi I prefer computer za window mana zinanipa uwanja wa kwenda maeneo mengi tofauti na Mac unapewa limit
Ngoja nijikusanye. Naziona jiji kwa Mil 2.0 - 2.4 hivi.Mac mini ni nzuri kama utafanya kazi sehemu moja. Ila kama situation ni kama hiyo kuwa home au mkoa, bora Air maana mini itakuhitaji kuwe na supported monitor popote unapoenda.
Air M2 ya 16GB memory na 512 ssd inafanya video editing bomba kabisa.
yes boss vuta chuma hichoNgoja nijikusanye. Naziona jiji kwa Mil 2.0 - 2.4 hivi.
Kama uliwahi kutumia Mac na window utanielewa, au kwenye simu kama ushawah kutumia android na ios utanielewaMhh limit kama zipi mkuu
Natumia zote bossKama uliwahi kutumia Mac na window utanielewa, au kwenye simu kama ushawah kutumia android na ios utanielewa
Kuna ile kuhamisha videos kutoka sehemu nyngn kwenda kwenye MacNatumia zote boss
Kwa kutumia external drives?Kuna ile kuhamisha videos kutoka sehemu nyngn kwenda kwenye Mac
Mkuu, mm najua unanielewa nikisema Mac zina limit mambo mengi ila n bc tuu umeamua kukaza kichwaKwa kutumia external drives?
ni sawa lakn kama haikuclick kwa upande wako, ila limitations si kweli, labda ulitumia incompatible drivesMkuu, mm najua unanielewa nikisema Mac zina limit mambo mengi ila n bc tuu umeamua kukaza kichwa