Unafanya nini kabla ya kulala ili kupata usingizi mzuri?

Habari wakuu!

Ili kuishi maisha ya furaha na kuwa na afya njema kulala usingizi mzuri ni sehemu muhimu ambayo huweza kuimarisha afya ya akili na mwili pia.

Leo naomba tujadili, wewe ili upate usingizi mzuri, unafanya nini kabla ya kulala?

Nikianza Mimi Mr. Purpose binafsi, ili nipate usingizi mzuri ni lazima nifanye moja ya vitu vifuatavyo au vyote kwa pamoja:-

1. Mazoezi ya viungo.

Jioni nikifanya jogging au mazoezi yoyote ya viungo huwa akili inatulia hivyo kupata usingizi mzuri bila tatizo.

2. Kuoga maji ya baridi kabla ya kulala.

3. Kufanya meditation jioni kabla ya kulala.

Hii huwa na mchango mkubwa sana na huwa hata nikiamka asubuhi mambo yangu huwa yanaenda vizuri sana.

4. Kusoma kitabu au makala yoyote.

5. Tendo la ndoa.

Hii nayo huwa ni sehemu ya kupata usingizi mzuri hasa pale ambapo limefanyika kwa umakini na umaridadi wa kutosha huwa nalala vizuri sana.

NB: kumbuka tendo la ndoa ni dawa na inasaidia kutibu magonjwa kadhaa, ntaleta uzi kulielezea kwa kina.

Sasa mdau, turudi kwako, wewe unafanya nini ili kupata usingizi mnono na kuamka ukiwa mchangamfu kiakili nakimwili pia?

Karibu tujadili.
ukitaka kulala bila kupenda kama wewe ni mtenda dhambi chukua biblia anza kusoma, usingizi utakuja tu
 
Kam

Kama wewe sio mpenzi wa kusoma vitabu basi ukitaka kupata usingizi chukua kitabu kisha anza kusoma. Usingizi utakuja fast utalala
 
1. Zamani Nilikua napiga p*ri au nacheki Movie.

2. Nikaja kua nasikiliza podcast ila sahivi nipo bush mtandao mdogo sana kustream Podcast.

Kwahiyo nadhani ushajua kwamba nimerudi Namba 1 kipengele "A" hapo juu. Sijawahi jutia
Duh unapiga nyet* kabisa
Ni kwamba huwezi kaa bila kuwaza nyuch*
 
Sijalala siku 2,hapa kichwa kiko waruwaru tu.
Nagonga kali ila bado jicho nyanya linadai tu,sijui nifanyeje
Jaribu kvant kubwa mkuu,hizo kitoko sio nzuri.
Ukishindwa kupata usingizi kabisa basis kula biringanya kwa wingi kabla ya kulala.
 
Ukitaka ulale vizuri.kwenye godoro usitandike shuke Wala foronya.
Uwe na shuka ya kujifunika tu basi
 
Usingizi ni kitu muhimu Sana Mkuu.Ndio maana kabla hujaamua hata kunua,fridge, gari,sofa etc, bas nunua Godoro lako kubwa zuri Ili baada ya hassle za Siku nzima kazini urudi ulale sehemu Nzuri.
 
Mimi sielewi huwa nalala ama nafumba macho maana nikilala mtu akipata wasaa wa kuja mlangoni ama dirishani akaita mara moja tu naamka.Yaani usingizi kama nimefumba macho tu.
 
Ninayo hapa ndo kabisa inanifanya nikeshe
Dahh pole sana Babu,jaribu biringanya babu itakusaidia.
Pia kama una mke,jitahidi piga kvant ya 250ml,kisha mpasue mwenza wako viwili vya kuunganisha,ule uchovu utakupa usingizi Babu.
Usisahau kuleta mrejesho hapa jf babu.
 
humu raha sana wana hatutupani kabisa, tunapeana ma idea kama yote. Ngoja tusubiri mrejesho
 
Dahh pole sana Babu,jaribu biringanya babu itakusaidia.
Pia kama una mke,jitahidi piga kvant ya 250ml,kisha mpasue mwenza wako viwili vya kuunganisha,ule uchovu utakupa usingizi Babu.
Usisahau kuleta mrejesho hapa jf babu.
Nachapa daily vyote, sema usiku niko ka popo.
Napiga supu biringanya leo na k vant nione.
Asante Mkuu
 
Back
Top Bottom