Unafanya nini kabla ya kulala ili kupata usingizi mzuri?

Nachapa daily vyote, sema usiku niko ka popo.
Napiga supu biringanya leo na k vant nione.
Asante Mkuu.
Jaribu Leo babu wangu,uone matoke ulete mrejesho hapa.
Pia mawazo punguza mkuu.au mkuu isije kuwa mwenzangu na Mimi mechi tunapewa kwa nadra mkuu.
 
Back
Top Bottom