African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
781
1,356
Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi.

Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea

1000157727.jpg

1000157724.jpg

1000158174.jpg
 
Picha kali sana hiyo mkuu, iPhone ngapi hiyo mkuu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
 
Bantu Lady ni expert kabisa
Bantu Lady ya kweli haya?

Mi nilidhani umeajiriwa kitengo kingine, ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.

Kumbe unapigaga. Ma code eeeh wonders shall never end. โ˜บ๏ธ๐Ÿค”๐Ÿค”.

Unajua siamini kama auntiee yangu anajua haya mambo.

Bro National Anthem kuwa serious mkuu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ohooo ... niamini mie sasa... mwisho wa matatizo ya ku develop hapo...

Mpe kazi utaleta ushuhuda
 
Bantu Lady ya kweli haya?

Mi nilidhani umeajiriwa kitengo kingine, ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.

Kumbe unapigaga. Ma code eeeh wonders shall never end. โ˜บ๏ธ๐Ÿค”๐Ÿค”.

Unajua siamini kama auntiee yangu anajua haya mambo.

Bro National Anthem kuwa serious mkuu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sijui chochote mdogo wangu. Wee unamsikiliza Ankol ananisingizia tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom