Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,364
- 15,148
Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
anakula 200,000,000
kuna kila aina ya watu humu wengi mkumbo na fuata upepo