Unaejifanya CCM damu soma hapa

Unaejifanya CCM damu soma hapa

Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati

Mi niko ku sapoti ukawa ila kwa huu uchumbuzi ni zero kabisa...wewe uliandika hzo takataka ni mji..nga wa kiji..nga
 
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati

hapo kwenye read....katika orodha ya watoto wa Moses Nauye huyo jamaa hayumo.

Hata hivyo umesahau watoto wa vigogo banki kuu na mashirika manono ya umma
 
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati
Wewe hujui upande wetu ukoje. Cheki hapa sasa!
Mtei kumuachia bob Makani shemeji yake na mkwe wake mbowe chadema,
kupeana vyeo kiudugu mzee Ndesamburo mwanawe lucy owenya, mkwewe grace kihwelu lissu na dada yake,
hawara wa mbowe kama hiyo haitoshi robo tatu ya viongozi ni kutoka kilimanjaro, arusha na manyara hayo hamuyaoni? Kama mlifikiri ni chadema ni chama cha siasa mmeumia bali ni kikundi cha wapigaji wanaojiendesha kwa misingi ya chuki tofautibna jinsi tulivyokuwa tunajipambanua kabla Dr Slaa hajatutoka.
Tutapata wapi tena uaminifu kutoka kwa wananchi
 
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati

Kamrisishe mwanao agombee ubaloz nyumba kum vingungut manake huna akil???
 
Na pale akina Lowassa, Pinda, Gharib Bilal, Membe, Jaji Ramadhani wanapojifanya nao ccm ni chama chao wakaishia kukatwa tu maana hakuna namna nyingine tena! wenye chama wamechoka!
 
Ajira za nchi hii ni maalumu kwa watoto wa vigogo wa chama na Serikali (Refer BOT,Uhamiaji n.k.Kuondoa hilo piga kura yako kwa Lowassa na wagombea wa CHADEMA,CUF,NCCR na NLD.
 
Si uelezee wewe hiyo ya mtei km waiju?toa uchambuzi wako na ww...tusaminishe.

Hata kanisa walianza ndugu kukaa pamoja na jamaa waliowa karibu vivyo kwa waislam na hata sacos ndivyo huanza ndipo baadae wengine hushawishika baada ya kuona malengo ya waanzilishi yanamanufaa kwao

Mtei Ni mwanzilishi yeye kwa fikra zake jamaa na marafiki walikaa wakawa kitu kimoja wakatuletea chadema kikiwa na misingi na uongozi thabi ndiyo maana tunashawishika na sera na malengo yake
 
Hao sio CCM damu. Ni upumbavu wao ambao ni mtaji wa CCM.
 
Ya mtei kumuachia bob makani shemeji yake na mkwe wake mbowe, kupeana vyeo kiudugu mzee ndesamburo mwanawe lucy owenya, mkwewe grace kihwelu lissu na dada yake,hawara wa mbowe kama hiyo haitoshi robo tatu ya viongozi ni kutoka kilimanjaro, arusha na manyara hayo hamuyaoni? Kama mlifikiri ni chama cha siasa mmeumia bali ni kikundi cha wapigaji wanaojiendesha kwa misingi ya chuki

Chaggadema ni kitega uchumi cha Mtei.
 
Huna jipya hatuwez wapa nchi mafisadi kama lowasa na wachumia tumbo kama mnowe
 
ImageUploadedByJamiiForums1443893044.346839.jpg
 
Ya mtei kumuachia bob makani shemeji yake na mkwe wake mbowe, kupeana vyeo kiudugu mzee ndesamburo mwanawe lucy owenya, mkwewe grace kihwelu lissu na dada yake,hawara wa mbowe kama hiyo haitoshi robo tatu ya viongozi ni kutoka kilimanjaro, arusha na manyara hayo hamuyaoni? Kama mlifikiri ni chama cha siasa mmeumia bali ni kikundi cha wapigaji wanaojiendesha kwa misingi ya chuki

Hivi ulitegemea Mzee mtei aanze Na nani kwa mfano? Kuanzisha chama cha siasa katika mazingira ya Tz ilikuwa ni issue jamani, watu hawakuwa tayari kujitoa kupigiani mabadiliko haya ambayo Leo tunayaona. Ilikuwa lazima uanze Na watu wako wa karibu ambao waliamini salifasa Na itikadi ya mwanzilishi, so mi sioni ubaya hata kidogo kwa Mzee Mtei kuwa Na watu wake wakaribu ndo hao walijitoa muanga kumsapoti. Hivi unadhani kama si hao Leo chadema ingekuwaje hapo ilipo? Hivyo hivyo sioni shida kwa viongozi kuwakuza Watoto wao kwenye uongozi ni haki yao.
 
Na pale akina Lowassa, Pinda, Gharib Bilal, Membe, Jaji Ramadhani wanapojifanya nao ccm ni chama chao wakaishia kukatwa tu maana hakuna namna nyingine tena! wenye chama wamechoka!

Kwahyo Magufuli Ni Mwenye Chama?Asha Rose Migiro?Yule Mama Wa Zanzibar Nae?
 
Hii sasa ndo shida! Kutumia vyeo Na nyazifa zao kuwekana kwenye nafasi nyeti. Haya ndo yametufikisha hapa tulipo Leo, nchi masikini zisizo Na rasilimali kama zetu zinatupita kimaendeleo.

Nina hakika hakuna hata mmoja aliyepata ajira BOT kwa kufuata vigezo, wote wameajiriwa kwa vimemo! Ndo maana tunataka mabadiliko potelea mbali hata kama hatujui kama tutafika huko twendako!
 
Ni Vyema Pia Kama Ungeongelea Pia Ukoo Wa Mzee Mtei Ndani Ya Chadema....!!

Wewe katika maganda ya ndizi wewe ni lile ganda liliooza

Wenzako wana Malory wewe unanengeneka huku jamii forum hata ela ya kula na jamii yako huna
 
Back
Top Bottom