John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,029
Hapo wata kavyo koroma mwenyewe we utaona tuu .jinsi sisiemu watakavyo charuka.
Wewe katika maganda ya ndizi wewe ni lile ganda liliooza
Wenzako wana Malory wewe unanengeneka huku jamii forum hata ela ya kula na jamii yako huna
Asante Mkuu,lakini Mada Ipo Mezani Tuendelee Kuchangia.....
Changia wewe unaenengeneka mitandaoni wenzako wanapiga mikwanja wewe unajifanya unawatetea
Wakati unakaa Nyumba ya kupanga swain
Asante Mkuu....Kwani Kukaa Nyumba Ya Kupanga Ni Dhambi??
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati
Sio dhambi. Bali ni kuwa ccm ni dhambi kubwa ya mauti

Hahahah Mkuu Mimi Natetea Ccm Kwa Facts Nyie Ukawa Mnazofacts Ila Hamtaki Kuzitumia Mnabaki Kukejeli Kama Wewe Haujui Kila Mtu Ana Uhuru Kuwa Chama Akipendacho?Usihofu Lakini After 25 Oct Haya Yote Yatakwisha...
Ni Vyema Pia Kama Ungeongelea Pia Ukoo Wa Mzee Mtei Ndani Ya Chadema....!!
Kumbe!!!
Nasikia na Mtei kamrithisha mkwewe Mbowe CDM
Kawapa akina Susan Lyimo, Mdee ubunge!
Huku Lisu na dada yake wakiwa Mjengoni!
Nadhani hakuna kuliko salama!
Hata wewe una upungufu wa akili kichwani kwa kushabikia hicho chama unacho shabikia!!
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati
Nina wasiwasi na elimu yako, hivi unajuwa maana ya kurithisha?? Makamba alikuwa mbunge?? Makongoro alikuwa mbunge tena NCCR-Mageuzi wakati baba yake akiwepo bado hadi anamnyima kupanda ndege toka Msm to Dar kisa ameenda chama pinzani?? Hujui tafakari vizuri. Nitajie wenyeviti wa CDM Wote tangu kuanzishwa
GETRUDE MONGELA - John Mongela (Mkuu wa Mkoa wa ?);KIGOMA MALIMA - Ali Malima
RASHID KAWAWA - Vita Kawawa
MOSES NNAUYE - Nape Nnauye-
JOB LUSINDE – Livingstone Lusinde