juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
- Thread starter
- #61
Hakuna ajabu yeyote kwa mwana kufata taaluma ya mzazi/ndugu. Lisu hana ndugu kwenye siasa,slaa je?na kama sio mtei unafikiri tungemjua mbowe?Mfano mwingine ni marekani, tazama familia ya kennedy na sasa tazama familia ya bush. Nyie mlio majobless pia mmefata kwa wazazi wenu.kama baba alikua mpambe basi na wewe utakua mpambe.
Angarau weww kidogo umeongea kiakili kidogo japo sio sana ila umejitahidi kuliko hayo mavuvula mienzako