SHABANIBUMBO
Member
- Oct 2, 2015
- 36
- 2
Hapo sawa kabisa ukawa ndio wana ukanda kudhihirisha tazama ugawaji wa majimbo unashangaza sana lkn sio mbaya kwani vyama vingine vimekubali.
Ukoo upi? Mbona hakuna kiongozi wa CHADEMA anayekwenda kwa jina la MTEI? hebu mtaje!
CCM imefikia kikomo, hakuna namna tena! Sasa naamini CHADEMA ni chama cha watu wote bila kujali kabila, rangi, dini etc
CCM ina ubaguzi wa hali ya juu, upendeleo, ukiritimba, udini, ukabila, umimi, kujuana ndizo nguzo za CCM. Bora shetani kuliko CCM.