juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Kwa taarifa yako wewe sio mwana ccm damu kama unavojipambanua,isipokuwa huna akiri kichwani mwako.chama kina wenyewe hicho. Na ndio hawa wafuatao
ALLY H MWINYI kamrithisha mwanae Husein mwinyi ni waziri
JAKAYA M KIKWETE kamrithisha mwanae Ridhiwani kikwete ni mbunge
JULIUS K NYERERE kamrithisha mwanae Makongoro nyerere ni mbunge wa africa mashariki
SAMWELI SITA kamrithisha mkewe anagombea ubunge urambo mashariki baada ya mumewe kustaafu
SAMWELI SITA anamrithisha mwanae Beni sita anagombea udiwani jijini dsm kata ya msasani
SINDE WARIOBA anamrithisha mwanae Kipi warioba anagombea ubunge jimbo la Kawe jijini dsm
MAKAMBA amemrithisha mwanae January makamba sasa ni waziri
NNAUYE amemrithisha mwanae ambae sasa anagombea ubunge jimbo la mtama
Sasa wewe unaejifanya ccm endelea kuburuzwa utaishia kuwa kada hata ukuu wa wilaya huapati