Unadhani wewe una matatizo kuliko wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unadhani wewe una matatizo kuliko wengine

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MduduWashawasha, Aug 10, 2011.

 1. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa hiki.

  " Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu wa kambo hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe wa mkwe wake. Baadaye binti yamke wangu yaani binti yangu wa kambo alipata mtoto wa kiume. mtoto huyo wa kiume alikua ndugu yangu kwa sababu tulichangia baba mmoja. lakini kwa vile alikua ni mtoto wabinti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake ndogo wangu.
  Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa msichana ambaye ni ndugu wa mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake.

  Hali hiyo ilimfanya pia baba yangu kua shemeji wa mtoto wangu ambaye ndugu yake wa kike kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama mdogo (anti) wabinti yake mwenyewe . Mtoto wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.

  SWALI. Je, unadhani mpaka hapo wewe una matatizo ya kifamilia? Acha kulalamika
   
 2. M

  Mbishi SR Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaipenda kwani sijaoona tatizo hapo.
  Kwani babu na mjukuu kuna tatizo gani???
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu yanga hapo hali si shwari tena!
   
 4. k

  kakolo Senior Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Duh kweli mimi sina matatizo yaani mambo yamejichanganya, yakajikoroga, yakajimix baba akawa mkwe, mtoto akawa mama. Very fun.
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Huo ni mchanganyiko maalum!
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tamuuuuuuuuuuuu
   
 7. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  just a dream:
   
 8. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na hao watoto wakzaa je?
   
 9. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wewe unakuwa babu yako mwenyewe? full mseto hapo
   
 10. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,068
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Once again copied and pasted very boring
   
 11. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  <br />
  <br />
  duh!
   
 12. D

  Daty Senior Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh iyo kali
   
Loading...