masanjamkandamizaji
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 171
- 72
- Thread starter
- #41
Mimi the first time namuona Binti Kidoti face 2 face ilikuwa maeneo fulani hivi kinondoni macho yalipokutana ilichukua muda kidogo kuacha kuangaliana naye mi nikampita nikawa naendelea na safari zangu kila nikigeuka nakutana naye face 2 face kasimama kabisa anantolea macho lakini sikuwah kuwaza hata kumsalimia coz i know simuwezi kwa kila kitu isipokuwa dudu tuuuuu,mapenz raha muwe mna level fulan inayoendana sio mimi na ukapuku wangu nikamng'ang'anie kidoti! Let us be realistic tuache kupaka rangi upepo
Uko sawa kabsa mkuu .
Lakn ujue wanawake wa kileo wanasaka wenye level za juu.
Usiashangae miaka inaenda unaezeeka bila mke...
Mchagua nazi huangukia...........