Unadhani umeweza laa hasha umewezwa?

Unadhani umeweza laa hasha umewezwa?

Hivi K-lyn anafanyiwa creativity gan na mzee Mengi! Wanawake wanataka economic protection thats all haya mengine mashauzi tuuuuuuu,mi hela za kuvizia halafu nimmiliki mwanamke kama Vicky Kamata au Lucy Kihelwe eti kisa nna maujanja na micreativitymi nakwambia ikitokea nakufa makusudi let us be real

uko sawa kabisa
heshima pesa shikamoo makelele tu!!
 
mwanamke akikusumbua achana nae aende unaleta mwingine ana fill the void,mambo yanakwenda,hawa tulipewa tuwatawale sio wakupasue kichwa,let her go,vuta mwingine,nyakati hizi wanazidi kuongezeka sana na bado,maandiko yanatimia.



Ahahaaaaaaa hapo umetatua tatzo umeongeza tatzo.
 
most of relationships siku hizi zina lack of communication (si kupigiana simu tu), insecurity, attention ndogo kwa mwenzi wako... things like that.. jamaa anaweza akawa hana tatizo lolote katika hayo, akajitahidi ku cover kila kitu, pesa na dudu ikawa ishu ya ziada tu.. na bado akaachwa kama kawaida. anaesema alimpa mwanamke KILA KITU si mjinga, anamaanisha anachokisema, huyo anayelalamika pesa alizopoteza juu ya mwanamke basi alikuwa mhongaji tu akitegemea pesa ndo zitalinda penzi lisipotee..
mwanaume aliyempa mwanamke KILA KITU, atajuta kumpenda na si pesa alizotumia juu yake..
 
So nitajuaje kuwa hiki kwake ni kipya au alishawahi pata/fanyiwa? Mi kukaa nakufkiria kitu kipya kupya kila siku ili nipendwe ni matumizi mabaya ya akili coz akili ina mambo mengi ya msingi yakufikri..au umevurugwa mkuu?

Daah akili zako kama zangu
 
Hii ni kwa watu wanaosumbuliwa na mapenzi. If I have money and I can to*mba vizuri, u just go someone will replace your place within no time.

Sasaje ishu kuwa na MIHELA bwana mengine ziada...
Au umesahau kwenye mihela ndo watoto wantulia tuliiiiiii..............
 
Nyie watu vipi..? Nyie mnaongea mambo ya creativity.. sijui kufanya vitu vipya.. hivyo vitu vipya unavitoa wapi..? Trust me, ukishaishi na mtu for just 2years, huna jipya lolote utakalo kua nalo. Kila kitu utakachokifanya itakua ni marudio ya kitu ambacho ulishakifanya zaidi ya mara 20!!
 
Hahahaaaaaa et ataji-LAVEDA!!!!
Hawa watu hawaeleweki kabisa,kuna mwingine huku kamwacha msela wetu kakimbilia kwa jamaa wa CRDB tena kwa mbwembwe.
Heeee siku tatu badae karudi analia oooh nisamehe,shetani,jamaa simuwezi mgomvi na mambo mengiiiii!!! Sie tukamwambia msela ukimrudisha unatupoteza marafiki wote,aaaa jamaa katusikia sie kakaza.Mweeeeeeee ukimwona demu muda huu ni huruma kwakweli.
 
My dear siri ya kaburi , aijuaye nani ..... Huwezi jua K Lyn anafanyiwa nini na mumewe hiyo ni Sirius yao . Lakini Mimi ninachojua kwenye ndoa you really have creative na si ndoa tuu mahusiano mengi. Ni kusema b creative , ninamaanisha ni kufanya vile vitu umbavyo wewe ungependa mwenzio akufanyie , si lazima mwenzio awe Wa kwanza Kwani hata wewe unaweza kufanya hivyo kwa kujihumble . Love is the game , you play it dear according of the game . Na kufundishana pole pole kila siku mtajikuta wote mnaishia kuwin from that game, na simaanishi game ya kuchezea moyo mwenzio , no game ya kupenda bila kuchoka, dear, na kuwa patient, to give more than to receive dear . After all kila mtu ana mtizamo wake dear, huu ni mtizamo wangu . Thanks!

Khaa unajibu km unaongea na mtu personally looh dear zimekuwa nyingi mno
 
Mkuu nauheshim sana ubongo wangu... siwez kaa fikilia upuuz... Mola kanijalia mashaallah shughuli naijua... akili ni kwene noti na mengne yene tija... there many beatiful grls out there... so huyu akizengua m namchomekea mwengne life goes on... yakinamarichuli siyawez
 
Ni rahisi tu kulalamika
"Demu wangu nampa kila kitu lakini hata sioni kama ananipenda"
Unaposema unampa KILA KITU unaamanisha Hela??Dudu??THEN WHAT???
Amini usiamini...Mpe demu hela..Mpe Dudu bado kuna kitu ATAKUDAI...Kabla wewe hujaja kwenye maisha yake kuna mtu alikuwa anampa Hela na Dudu na bado waliachana...Na wewe unarudia makosa yaleyale ukidhani Hela na Dudu umemaliza...LISTEN!
A woman can never fall in love IF You dont Teach/Offer her something New and She is learning something new from you..
Shilingi elfu 10 yako na ya Ex wake ni ILEILE...
Dudu lako na la Ex ni lilelile na si ajabu la Ex lilikuwa BETTER...
What more do you offer her??Kuna kitu gani kipya umemfundisha tangu awe na wewe??Kama hamna SAHAU huyo Mwanamke kufall in Love na wewe..Ur just another man..Atakaa na wewe coz of ur money but she wont love you...Kuwa na wewe haimaanishi UNAMMILIKI...Siku akipata Mwanaume anayempa new things,new lessons,new experiences...UTAACHIWA VUMBI!
Wanawake waoneni hivihivi,Kuwa Mwanaume sio Suruali...ITS ABOUT CREATIVITY...What do u create in her??A new Creation u do in her life is what will make you SPECIAL..UNIQUE ..EXCEPTIONAL...UNCOMPARABLE!
Dudu hata Dildo zipo ataji-LAVEDA!

Ahsanteeeee.
 
Nyie watu vipi..? Nyie mnaongea mambo ya creativity.. sijui kufanya vitu vipya.. hivyo vitu vipya unavitoa wapi..? Trust me, ukishaishi na mtu for just 2years, huna jipya lolote utakalo kua nalo. Kila kitu utakachokifanya itakua ni marudio ya kitu ambacho ulishakifanya zaidi ya mara 20!!

Uko sawa kabsa mkuu
Lakn ni wasiwasi labda uliwahi kukutana hilo jambo.


Nyie watu vipi..? Nyie mnaongea mambo ya creativity.. sijui kufanya vitu vipya.. hivyo vitu vipya unavitoa wapi..? Trust me, ukishaishi na mtu for just 2years, huna jipya lolote utakalo kua nalo. Kila kitu utakachokifanya itakua ni marudio ya kitu ambacho ulishakifanya zaidi ya mara 20!!
 
uko sawa kabisa
heshima pesa shikamoo makelele tu!!

Mimi the first time namuona Binti Kidoti face 2 face ilikuwa maeneo fulani hivi kinondoni macho yalipokutana ilichukua muda kidogo kuacha kuangaliana naye mi nikampita nikawa naendelea na safari zangu kila nikigeuka nakutana naye face 2 face kasimama kabisa anantolea macho lakini sikuwah kuwaza hata kumsalimia coz i know simuwezi kwa kila kitu isipokuwa dudu tuuuuu,mapenz raha muwe mna level fulan inayoendana sio mimi na ukapuku wangu nikamng'ang'anie kidoti! Let us be realistic tuache kupaka rangi upepo
 
Hizi tafiti zimekuwa nyingi mpaka zimekosa mwelekeo.

Kuweni wabunifu, mie naendelea na yangu ya kale na hajachomoa ndio kwanza tuna-shine.
 
Back
Top Bottom