brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
most of relationships siku hizi zina lack of communication (si kupigiana simu tu), insecurity, attention ndogo kwa mwenzi wako... things like that.. jamaa anaweza akawa hana tatizo lolote katika hayo, akajitahidi ku cover kila kitu, pesa na dudu ikawa ishu ya ziada tu.. na bado akaachwa kama kawaida. anaesema alimpa mwanamke KILA KITU si mjinga, anamaanisha anachokisema, huyo anayelalamika pesa alizopoteza juu ya mwanamke basi alikuwa mhongaji tu akitegemea pesa ndo zitalinda penzi lisipotee..
mwanaume aliyempa mwanamke KILA KITU, atajuta kumpenda na si pesa alizotumia juu yake..
Like like,u have money na unanipa attention ninayotaka deal closed hutosikia nalalamika