Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,835
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Lisu amefanya ziara binafsi lini huko mikoani? Mkoa gani na tarehe ngapi? Alikutana na kina nani?? Unajua managed ya neno BINAFSI WEWE
 
Endelea kuota ndoto, tutakuamsha baada ya kuikomboa nchi
 
kwani hiyo ziara ni ya kichama kweli gentleman?
mbona mobilization ya mikutano haina hadhi wala mipango ya kichama, laikini pia anaepiga kelele ni yeye mwenyewe tu, na maeneo mengi hata haeleweki kabisa? :pedroP:
 
Na bado! CCM mtachanganyikiwa mwaka huu hadi mtavaa boxer kichwani. Na hapo CHADEMA wamepiga Kanda moja tu ya Nyasa, wakifika Kanda ya Victoria huko Kanda ya Ziwa lazima mrudishe mpira kwa kipa.
 
ni muhimu zaidi ukajikomboa wewe gentleman kutoka mikononi mwa hao matapeli wa pesa zako, na ho vibaka wa kisiasa wanaokurubuni haki na uhuru wako wa kushiriki uchaguzi.

kubebwa ufala kizembezembe tu ni kitu mbaya sana gentleman:pedroP:
 
Na bado! CCM mtachanganyikiwa mwaka huu hadi mtavaa boxer kichwani. Na hapo CHADEMA wamepiga Kanda moja tu ya Nyasa, wakifika Kanda ya Victoria huko Kanda ya Ziwa lazima mrudishe mpira kwa kipa.
yaani kwakweli watangaza nia za kugombea uongozi kupitia chadema, wanaendelea kujitokeza kwa wingi sana na wanajiandaa kikamilifu kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania na kupuuza kabisa wito wa huyo kibaka na tapeli wa kisiasa ndani ya chadema wa eti sijui no refom no elections,:pedroP:

labada atazuia uchaguzi pekeyake:pedroP:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Ndo ulivyoamka ili uendelee kujifariji kwenye ujinga!
 
kwani hiyo ziara ni ya kichama kweli gentleman?
mbona mobilization ya mikutano haina hadhi wala mipango ya kichama, laikini pia anaepiga kelele ni yeye mwenyewe tu, na maeneo mengi hata haeleweki kabisa? :pedroP:
Umezoea ziara zako za kina mwijaku na Steve nyerere. Haya ya chadema huwezi kuyaelewa! Ni bora ukaendelea na shughuli zako Za UCHAWA
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Wananchi bado wanasubiri kuambiwa iwapi duka la EBOLA? na bei elekezi toka kwa CPA makala
 
Hata ziara za babako kwa mamako hatuzisikii. Kwann?
relax gentleman ikiwa huna hoja,
huna sababu ya kujiexpose kwa wadau jinsi ulivyo kifikra:NoGodNo:
 
Umezoea ziara zako za kina mwijaku na Steve nyerere. Haya ya chadema huwezi kuyaelewa! Ni bora ukaendelea na shughuli zako Za UCHAWA
sasa mbona chama kama vile hakimsaidii huyo kiongozi wake mkuu asie na maono?
walau wamueleze ukweli kwamba anachokifanya kinahamasisha zaidi wanachadema wengi zaidi kutangaza nia za kugombea urais, ubunge na udiwani kupitia chadema.

au wewe huoni gentleman kama no reform no elections imepuuzwa kote nchini?:pedroP:
 
Hujui uachokisema. Wewe ni chawa.
Kama mpaka Leo hujaelewa basically hata darasani ulikuwa huelewi yanayofundishwa.
Ndo maana unaaminishwa kwamba chadema wataleta EBOLA nwe unabinua kiuno kushangilia
 
Back
Top Bottom