Unadhani Ingekuwaje Kama Kungekuwa Hakuna Kula Chakula Duniani?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Nimejiuliza sana hili swali jana baada ya kuhangaika kutafuta menyu hapa Lusaka nyakati za usiku, wenzetu wanakula sana asubuhi (heavy meals) na mchana jioni kweupe'

Nikawaza kwamba aliyegundua kula ameleta asilimia kubwa sana ya mahangaiko duaniani

wewe unadhani ingekuwaje kama kungekuwa hakuna kula?

(sitaki kufilisi majibu yenu)
 
Ingekuwa kupiga pamba na muziki tu
 
Nikawaza kwamba aliyegundua kula ameleta asilimia kubwa sana ya mahangaiko duaniani
Hivi ni nani huyo unayemtupia lawama hizo...:what::what::what:🙁

Hivi kuna mtu aliye fanya ugunduzi wa kula kweli!!!????

Kwahiyo unamaanisha kabla ya huo ugunduzi watu walikuwa hawali!!???:what::what::what:

Angalia kwa makini hilo jambo mkuu
Usikufuru buree😎😎😎
 
Nimejiuliza sana hili swali jana baada ya kuhangaika kutafuta menyu hapa Lusaka nyakati za usiku, wenzetu wanakula sana asubuhi (heavy meals) na mchana jioni kweupe'

Nikawaza kwamba aliyegundua kula ameleta asilimia kubwa sana ya mahangaiko duaniani

wewe unadhani ingekuwaje kama kungekuwa hakuna kula?

(sitaki kufilisi majibu yenu)

Wala haihitaji kwenda mbali sana katika kuwazia hili, kwa kuwa kuna wakati dunia haikuwa na chakula - na pia haikuwa na watu wala wanyama!
 
Back
Top Bottom