Unadhani hawajisikii vibaya?

jubilant najua wazi umenifananisha na mtu fulani...
Umeongea vizuri kuhusu walioajiriwa na wale wajasiriamali lakini umewasahau kabisa wale wasio na ajira au kazi yoyote , ambao hao ndio msingi wa mada hii
 
inaumiza unapoona mtu mmoja au kundi la watu wanaojiona wao ndio wenye uchungu na hii nchi,wakati ukiwaambia kama kweli wanauchungu na hii nchi wajaribu kufanya kazi bila malipo kama wataweza,.kama kiongozi mkuu yeye anaowachaguwa na kuwapa ajira anadai anawafahamu je sisi wengine tusio julikana kwake nani atatuajiri?,hii nchi ni yetu sote siyo mali ya mtu mmoja,mtu umekulia nyumba ya kupanga mama akiuza walau vitumbua leo hii unamaliza chuo unakosa welekeo unatamani hata usingesoma usingezaliwa,.na wanao dai tujiajiri asilimia kubwa wameajiliwa,.yaani mifumo ya elimu inamuandaa mtu kuwa muajiliwa alafu leo mnadai tujiajiri....wabadili mifumo ya elimu ili watu waendae na dunia ya sasa na sio kutupa lawama kwa wahitimu ... I have a deep and profound mistrust of all politicians.
Craig Ferguson
 
Siasa zisizoakisi uhalisia huwa na matokeo mabovu sana! Kuna mengi ambayo yalihubiriwa kwenye majukwaa ya kisiasa kama yangetekelezwa kama yalivyotajwa hii nchi ingekuwa mbali sana kwenye nyanja zote bila kusahau ajira na makazi
 
Tunapopita mitaani asubuhi kwenda kazini na tunaporudi jioni wale vijana walioko vijiweni yale macho yao yanayotuangalia ukiwa makini kuyaangalia yanaongea mengi sana na kwa sehemu kubwa yamejaa maumivu
Yani hili...kila siku nikitoka kazini, wale vijana pale njiani wananiangalia ....mpk naona aibu..........wasijue kwamba ninakoshinda mshahara hauzidi 350k per month.......
mpk huruma......inauma sana aiseeee.............
 
Ni majanga makubwa sana Mkuu hasa ukitilia maanani utajiri mkubwa wa rasilimali mbali mbali ambazo tumejaliwa nchini.

Mfano ni Tanzanite ambazo nchi pekee duniani yenye madini haya ni Tanzania lakini wanashindwa kuyalinda na kujenga Kiwanja cha kusafisha tanzanite nchini, matokeo yake India ni ya kwanza duniani kwa mapato ya Tanzanite duniani kisha USA, Kenya na sisi ni wanne!!!

 
[emoji24] [emoji25] [emoji36] [emoji36] [emoji29] [emoji29] [emoji30] [emoji30] [emoji30] ....
 
kizazi hiki cha masalia ya ccm ndo tatizo.ifikapo 2020 na kuendelea hakutakuepo anaemkumbuka nyerere,hapo tutapiga hatua.
 
Kasie ni kweli kabisa lakini hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa nimewaona wengi waliokuwa na ndoto nyingi lakini frustrations za ajira zikazima ndoto zote na leo hii ni watu wa bangi na viroba inauma sana

Ni kweli si vizuri kukata tamaa ila inahitaji ujasiri pale kila unayemuona anahekima na ukimuelezea mawazo yako atakutia moyo usonge mbele inakuwa sivyo. Badala yake anakukatisha tamaa inauma aiseeh.... siwatetei ila kuna waliojiingiza kwenye biashara haramu baada ya kuona kila walifanyalo holaa.
 
Tatizo la hawa watu wanakaa na visimu vyao na kupost blah blah bila kufika field kwenyewe. Leseni ya biashara hupati bila kwanza kusajili shughuli zako, ukitoka hapo uende TRA wakukadirie utakavyokuwa ukilipa kodi, na ili uende kupata hiyo leseni lazima ulipe kodi kabla hata hujaanza hiyo biashara; kote unakopita ni lazima watu wale ili mambo yaende fasta fasta. Ukija kwenye biashara yenyewe tabu tupu, hakuna hela mitaani!
 
Natumaini mtukufu Raisi anapita humu jukwaani atauona huu Ujumbe na kuufanyia kazi ...

Hata kama sio yy natumaini baadhi ya Viongozi wanapita sana humu kama wakiuona huu Ujumbe wasisite kumfikishia taarifa ...
Mtaani hali mbaya watu tunakula mpakani mwa mchana na usiku..
 
Well said! You are analyst,you have made a clear situational analysis.
I would like to ask for the solution of this problem without being waiting to government's employments.
Ujasiriamali si ndio kimbilio,lakini pa kuanza na huu ukakasi wa nchi ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…