Unachopaswa kujua kuhusu Ushoga

Umeongea na kuweka details za kutisha tu.

Kuwa gay ni matakwa tu, kuna makala zina andaliwa kuwekwa kwenye vitabu na mitandaoni ikiwa na lengo la kupandikiza ushoga kwa njia kadhaaaa.

1. Kujenga doubts kwa walio straight kujihisi wanaweza kuwa na feelings na ushoga.

2.Kuondoa hofu kwa wanaofanya kuona kuwa ni kitu cha kawaida hata inafika hatua ya kuji expose kwa marafiki.

3.Kuweka sublimnal mesej kwa mind zetu hiii inaoperate sana.

Hizi tamhtlia zimefikia hadi kwenye katuni za watoto waanze kuwaandaaa na hizi ishu za ushoga.


#Pinga ushoga kaa mbali na vitu vinavyo pandikiza ushoga. Linda kizazi chako
 
KUHUSU USHOGA
----------------------------
Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume yamekuwa yakipigwa vita miaka nenda miaka rudi katika maeneo mbalimbali duniani. Tamaduni, sheria na dini zimekuwa zikipingana na ushoga kwa sababu sio jambo la asili. Mnamo karne ya 12, kanisa katoliki lilipiga marufuku waumini wake kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga). Kabla ya hapo, ushoga haukuwa kitu cha kujadili, ulipuuzwa. Lakini marufuku za kidini na kisheria zilianza kuwekwa pale ushoga ulipoanza kuota mizizi katika jamii.
Wataalamu wa tiba mbalimbali, madaktari na wanasaikolojia wamekuwa wakishindana kufanya tafiti juu ya ushoga; sababu, chanzo na tiba. Baadhi ya wataalamu wameona kuwa ushoga sio jambo la asili, huku wengine kama Dr. Sigmund Freud wakiona kuwa ushoga ni jambo la asili na hakuna sababu ya kutafuta tiba wala kuwatungia sheria za kuwakataza watu kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo kwa kipindi kirefu ushoga uliwekwa kwenye kundi la maradhi ya akili (psychological disorders).

Ilipofika mwaka 1973, taasisi ya magonjwa ya akili ya Marekani (American Psychiatrist Association) iliondoa ushoga kwenye kundi la maradhi ya akili, hii ilifuatiwa pia na ushirika wa saikolojia wa hukohuko marekani (American Psychology Association) ulipouondoa ushoga kwenye kundi la matatizo ya kisaikolojia mwaka 1975. Kwa hiyo katika marekani, ushoga ukatolewa kwenye maradhi ya akili, na vilevile kwenye matatizo ya kisaikolojia. Uamuzi huu haukufanywa kwa sababu za kitafiti kama taaluma za kitabibu zinavyoelekeza bali kwa ushawishi wa kilaghai (lobying) na mashinikizo kutoka makundi ya mashoga huko marekani.

Mnamo mwaka 1990, shirika la afya duniani, WHO nalo likafuata mkondo wa kuondoa ushoga kwenye kundi la maradhi ya akili.

Saikolojia
Hakuna hitimisho rasmi la kutosha kueleza kama mapenzi ya jinsia moja ni matokeo ya maradhi ya akili au ni jambo la asili. Ingawa tafiti fulani zinaonesha kuwa watu wengi wanaojihusisha na tabia hii wame'ipata' baada ya kuzaliwa (acquired) na sio ya kuzaliwa nayo.

Elimu ya viumbe hai (biologia) haitoi ushahidi wa binadamu kuwa sahihi katika mapenzi ya jinsia moja. Vilevile, elimu ya maumbile ya binadamu (Human Anatomy) haitoi ushirikiano katika muingiliano wa kimapenzi baina ya wanadamu wa jinsia moja. Lakini jambo la hakika ni kwamba watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wapo na wanafurahia tendo hilo. Hapo ndipo penye kufikiri.

Mwanasaikolojia Dr. Sigmund Freud anajaribu kuelezea namna mabadiliko ya akili-ngono (psychosexual) yanavyotokea kwa binadamu. Katika kile kinachoitwa 'Oedipus Complex, Freud anasema,
Akili-ngono (psychosexual) ya mtoto hukua kwa kupitia hatua tano, hatua hizo ni 1. Oral (mdomo) 2. Anal (mkundu) 3.Phallic (Uume) 4. The latent satage (hatua ya mpito) 5. Genetalia (sehemu zote za siri). Ni katika hatua ya tatu (phallic stage) ambapo mtoto huanza kujitambua kimaumbile na kujitofautisha na watu wa jinsia tofauti. Hatua hii hutokea kati ya umri wa miaka 3-6.
Katika hatua hii, binadamu huyu mtoto huanza kuwaona watu wa jinsia tofauti Kama watu tofauti na yeye. Vivo hivyo huweza kutamani kingono watu wa jinsia tofauti, wa umri wote. Kwa hivyo kwa watoto wa kiume huweza kuwatamani mama zao ambao huambatana nao kwa karibu kuliko mtu yeyote, na mtoto wa kike kutamani baba zao. Karibu mara zote, hatua hii hupita, na mara chache huweza kuendelea hadi wakati wa kubalehe. Lakini pia, katika hatua hii ya Tatu ya ukuaji wa akili ngono, mtoto huweza kujitamani mwenyewe. Na hapo ndio kunaweza kuambatana na kutamani watu wa jinsia yake. Bado elimu zaidi inahitajika kujifunza zaidi mambo haya yenye utata.

Dunia na ushoga.
Katika kitabu chake cha Conspirators Hierarchy, mwana intelijensia Dr. John Coleman anaeleza kwa kifupi tu namna serikali za marekani na uingereza zinavyofanyakazi kwa mashinikizo ya makundi ya siri, yakiwemo makundi ya mashoga. (Homosexuals). Makundi hayo ya (homosexuals) wamejiingiza katika makundi maengine ya siri kama vile, Order of st John of Jerusalem, Bachofen, Royal Institute for International Affairs (RIILA), Illuminati, Bilderbelgers, Trialterals, Freemasonry, Round Table, Cini foundation, Club of Rome, The Fabianist (waanglikana), Council of Foreign Relations (CFR), Zionist, Hellfire clubs, The Venetian Black Nobility, The Mont Pelerin Society, Bolshevism-Rosicrucianism, Rothchildren of Europe. Nk.

Yapo makundi mengi yenye nguvu ya fedha na intelijensia. Nimependa kunakili orodha hiyo ili ifahamike kuwa sio kitu rahisi tunapozugumzia ushawishi wa makundi haya katika serikali kubwa za dunia. Tunaweza pia kuwaongeza Jesuits Fathers (wakatoliki) ambao hawakutajwa na Dr. Coleman. Ni makundi ambayo serikali za dunia ya tatu hazifui dafu kupambana nayo. Mara nyingi sisi watu wadogo tunanufaika na/au kuathirika pale makundi haya yanapokinzana au yanapoafikiana katika kazi zao, ndio pale unapoona sasa kanisa la Anglican linakubali ushoga, na katika kuliingilia kanisa katoliki tunaona papa Benedict anajiuzulu na anaingia papa Francis na kuweka rekodi ya kuwa 'Mjesuits' wa kwanza kushika wadhifa wa upapa. Ni mapambano tu.

Sasa; ushoga ulianza kwanza kukubalika (acceptable), maana yake katika mataifa hayo ushoga ulikubalika na kuwa sehemu ya maisha ya kawaida. Pili ukatungiwa sheria (legal), maana yake hutakiwi kuwapinga, la! Utahukumiwa. Lakini si hivyo tu, sasa hivi unatangazwa na kuhamasishwa kupitia vyombo mbali mbali vya magharibi. Mbinu kadhaa zinatumika kuhamasisha ushoga, Moja! Kupitia filamu na muziki, mbili kupitia vitabu vya nchi za magharibi na kuzuia vitabu vya nchi za Asia ya Kati (Arabia, Armaic) au 'semitic books'. Tatu kupitia dini (anglican church) kwa udhanio wa uratibu wa "The Fabianists". Nne kupitia wataalamu wa tiba (madaktari na wanasaikolojia), tano kutumia intelijensia ya habari, sita kutumia tasisi za misaada (sir Elton John ni moja Kati ya wafadhili wakubwa wa tafiti za afya Tanzania) na kadhalika kadhalika.
Swali bado linabaki kuwa, kwanini haikutosha kuruhusu ushoga badala yake unatangazwa na kuhamasishwa! Tuendelee kujifunza

Bado kuna mengi ya kuandika , jinsi serikali za nchi nyingine zinavyopambana na ushoga wa magharibi, kwa mfano Urusi na Uchina zinavyodhibiti filamu, miziki, video na mitandao ya kijamii ya magharabi, mathalani tamthilia maarufu ya 'Game of thrones, lazima ichujwe name kundoa 'scenes' zote zinazohusu ushoga kabla ya kurushwa kwenye televisheni za China. Tamthilia hiyo pia imepigwa marufuku kuoneshwa katika kambi za jeshi la uturuki (TSK). Orodha ya filamu na tamthilia zinazohamasisha ushoga ni nyingi. Intelijensia za magharibi zimetamalaki katika kutumia teknohama kueneza itikadi zao, na 'mambo yao' .Wakati mwengine huenezwa propaganda kuwa watu wa zamani wenye ushawishi walikuwa mashoga, mfano mwanasayansi Sir Isaac Newton, na Leonardo da Vinci. Lengo ni kutaka kuhalalaisha ushoga kwenye akili za watu.
Hatuwezi kumaliza kuandika.

Nitoe rai tu kwa watanzania, huku tukiendelea kujiuliza swali lilelile; kwa nini haikutosha kuruhusu ushoga na badala yake unatangazwa in kuhamasishwa?
Majibu ya swali hili yanaweza Kuwa magumu kuliko swali lenyewe, na bahati mbaya tayari tumeshaingiliwa. Katika mikoa ya kanda za juu kusini, Njombe, iringa nk, kumekuwa na ugawaji wa vilainishi kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, zoezi linaloambatana na upimaji wa VVU. Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo linafanywa kwa namna ya kuhamasisha ushoga.
Kuna habari ya mtoto wa kiume aliyeingiliwa kinyume na watu wazima huko Njombe. Kisha akapewa vilainishi (lubricants) au jelly, na yeye akawakusanya wenzake wa kiume ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi kisha wakafanyiana na kugawana vilainishi!

Lengo la vilainishi laweza kuwa kurahisisha huo mchezo na kupunguza uwezekano wa kuambukizana maradhi, lakini zaidi, vilainishi vinaacha hamu ya kurudiarudia tendo hili ambalo kwa imani za wengi ni kharamu. Kwa nini kuhamasisha ushoga?

Wazazi na Walezi chukueni tahadhari, Serikali tuondoleeni hii aibu.....
Naendelea kujifunza. Andiko lako angalau linaonesha picha kubwa kiasi ya historia na harakati.

Kaka ...
 
Simulizi za mababu wakati babu zetu walipokua wanachukuliwa utumwani kulikuwa na wenye nguvu na hawakupenda kitendo kile, waliwapa shida sana wamiliki wao baada ya kununuliwa. Hii ilipelekea kuwafunga kwa minyororo na kuwalawiti mbele ya wengine ili (a way of humiliating them) kuwapunguza nguvu psychologically.
Ninaendelea kusoma kitabu cha "Nongoloza Children". Kina jambo la kujifunza kuhusu ushoga pia.

Kaka ...
 
Ninaendelea kusoma kitabu cha "Nongoloza Children". Kina jambo la kujifunza kuhusu ushoga pia.

Kaka ...
Unajua jeshi lilianzishwa na Roman Empire, na ukisoma historia yao ni kuwa ushoga ulikuwepo jeshini, lakini ni mambo ya siri sana na haikuruhusiwa kujionyesha. Wengi wao walikua wanaoa uraiani na kuishi kinafiki. Mpaka miaka ya 1950-60 Ulaya ilikuwa ukijulikana ni shoga unafungwa jela.
 
Nyendo za kishoga zinatia mawaa hata kuzisikia. Ni huzuni kuona mtu fulani katopea katika mambo hayo. Ni vema basi jamii yetu ijifunze na kujiridhisha namna bora za kuokoa kizazi chetu. Ni ajabu sana kwa baadhi ya members humu JF kuwa na hulka ya kumshambulia awaye yote anayetaka kutoa andiko la kujielimisha kuhusu tabia hizi zinazokirihisha nafsi za waungwana. Tujadili kwa kujenga hoja imara.
juhudi zozote za kukomesha ushoga hazipaswi kubezwa! Lazima tumuunge mkono Makonda. Kama asilimia japo kidogo wataogopa makucha ya Makonda ni mafanikio. Kwangu mimi hata kule kusikia kiongozi amesimama kukemea ushoga nafarijika sana. Kama akipata ushirikiano wa kuwatambua na kuwakamata hao watu tutkuwa tumefanikiwa kwa kiasi fulani.Hakuna jambo linaanza na kufanikiwa leoleo, anahitaji muda wa kuwabaini, kuwakamata na hatimae kuwaadhibu vikali hasa wateja wao. wakikosa wateja wata perish kwasababu watakuwa hawana namna ya kupata riziki zao. Hongera Makonda kwa kuthubutu.
 
Huu uzi umenifanya niduwae kwa muda, hongera mtoa mada.Pamoja na utafiti mzuri uliouwasilisha hapa LAKINI lengo hasa la kueneza ushoga ni nini?

M/Mungu awaepushe watoto wangu...Amen.
 
Umeeleza vizuri ila sijajua kwa nini umechomekea jesuit...
Wanahusika vipi na ushoga?
Papa benedoct alijiuzulu sababu kuu ikiwa ni ushoga???...hapa umeingiza kitu usichokijua au la unajua ila umefanya makusudi....
 
Hii kitu ni janga kubwa Sana. Siku moja nimekaa kwenye baa moja naangalia TV pale arusha akaja Jamaa moja tunafahamiana nae na ana maduka kadhaa ya dawa za kilimo na mifugo kiujumla ni tajiri tosha. Na anaheshimika Sana, tukakaa nae akaagiza konyagi na kuendelea kunywa. Alipoanza kulewa nikashangaa akaanza kunipapasa sehemu zangu za uume. Na akaniomba tuhamie sehemu za chobis, nilinyanyuka haraka na kumkimbia. Wakati nataka nikamwona meneja wa ile baa akinicheka huku akiniambia vp bana mbona unaikimbia mboga? Hapo akanipa stori kuwa huyu Jamaa ndo zake akilewa anahonga ndume ili aliwe. Cha kushangaza ana mke na watoto wakubwa tu na mke ni ofisa wa serikali.
 
Ila ipo historia inayosema kwamba tatizo hili lilianza maeneo ya uarabuni na si ulaya,kwa kuwa nxhi hizo zina mila ambayo ili uolewe lazma uwe bikra kwa hyo wanawake walijilinda sana bikra zao,ila kwa kuzidiwa ndio wakajikuta wanafanya nyuma ya maumbile kulinda ubikra,ndipo hali hii ikaenea badae had mataifa ya ulaya,utafiti wa madaktari huu,wa saikolojia.
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
 
la k
Ahsante kwa habari. Naweza kusema kuwa ushoga unatangazwa kwa nguvu sana ni hii inatokana na kuendelea kukua kwa population duniani.
Ukifikira matatizo mengi tuliyonayo duniani kama vita,maradhi,food shortage zote zinaashiria kiwa kuna ongezeko kubwa la watu. Ndio maana watu wanazusha vita na maradhi kupunguza watu.

Kwahio watu wakijamiana kama wanawake kwa wanawake hali kathalika na wanaume then kuna punguza uwezekano wa kuzaliana baina ya mwaname na mwanamke.

Tatizo ni resources vs population.

Serikali ya Tanzania inapokea misaada bila kujali,kuchunguza hv vitu mfano madawa,pembejeo,hata mbolea na hata vyakula.

Wazungu wameelekeza nguvu zao kibwa sana kuharibu udongo wa africa na kuwaua waafrica in massive huku wanaua wenzao taratibu pia.

Dunia imekwisha hii
la kuua udongo kweli kabisa ,,nakumbuka tuko waadogo shambani ilikua nomaaa mazao,,tulipoanza weka mbolea tu kwisha ,,udongo haufai tena kitu,,,serikali isimame jamen ardhi yetu haihitaji mbolea za nje,,,
 
ushoga umeandikwa hata kabla ya nyakati za kristo.

Hawa watu walikuwepo siku zote.

inaonekana tu wanaongezeka kwa kuwa wamekuwa free sasa.

dunia imebadilika. we're on the enlightenment era.

swali langu siku zote, DOES ABSOLUTE MORALITY EXIST? itafika siku dunia itafika viwango kamili vya maadili? au cycle itaendelea, kubadilika badilika kwa maadili kulingana na wakati?

lakini kuhusu ushoga me nasemaga tu, yeyote apractice tu me hainihusu. wala sitokutenga.

lakini mwanangu na wajukuu zangu sitaki wawe mashoga. ikinibidi kumtoa mwanangu bikra Yake kama alivyofanyiwa Lil Wayne, basi nitafanya tu(child abuse?? :D) au nimfundishe ubazazi mapemaaa. arudi nyumbani kilema baada ya kudundwa na baba wa binti :D
 
Unajua jeshi lilianzishwa na Roman Empire, na ukisoma historia yao ni kuwa ushoga ulikuwepo jeshini, lakini ni mambo ya siri sana na haikuruhusiwa kujionyesha. Wengi wao walikua wanaoa uraiani na kuishi kinafiki. Mpaka miaka ya 1950-60 Ulaya ilikuwa ukijulikana ni shoga unafungwa jela.
Yeah ... Wao walikuwa na kanuni ngumu sana. Naona huku kwetu pia Luna namna wanapima (sijui mbinu wanazotumia) kubaini hali hiyo hasa kwa waombaji wanaume.
 
Back
Top Bottom