zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,405
- 27,227
mkuu unacho zungumka ni kweli labda niulize tukiweka katika mizani mafanikio ya shule za kata na kushindwa kwake kuna uiano upi?Unakubuka wazo la shule za kata na jinsi zilivyokuwa zimepata upinzani bila ya wanaozipinga kutoa njia mbadala ya kuwafanya vijana kama sisi tusome? Unakumbuka shule hizo zilivyoanza kwenye mazingira magumu na sasa zilipo? hivi unajua kuna watu ambao ni PHD holders sasa na ni products ya shule hizo? unajua kuna wengine wanafanya kazi mpaka UN na ni product ya shule hizo?
unafahamu shule izo hutoa 0 na 4 nyingi kuliko 1-2-3. unaukumbuka mwaka hadi matokeo kurudiwa 60% walikuwa wamelamba 0.
je? tuendelee kusifia shule izi kisa kuna watu 4 wamefanikiwa hapo huku 900 wakishindwa