Unachati naye anajibu "K" au "Aya"

Unachati naye anajibu "K" au "Aya"

Ni upuuzi wa kiwango cha lami,,,


Tena unakuta ni dume zima nalo linajibu k mpfyuuuu
 
yani hua nashangaa mtu msomi kabisa lakini anajifanya anaandika kama teja
 
8a1b27a4a1fb1ea84687fe915b2382b3.jpg
 
Unakutana na wasichana mwanamke anayejielewa hawezi kukujibu hivyo

Hasa visichana vya shule za sekondari na chuo ndio wanatabia ya kutext K, P, xaxa, cjui, xhanks..!!

Ndio maana mchina aliongoza kwenye mtihani wa kiswahili..!! Pumbavu zao..!!!!
 
Hasa visichana vya shule za sekondari na chuo ndio wanatabia ya kutext K, P, xaxa, cjui, xhanks..!!

Ndio maana mchina aliongoza kwenye mtihani wa kiswahili..!! Pumbavu zao..!!!!
Wakikutana na watoto wanakuja kutujumlisha wote wanakera sana
 
Hasa visichana vya shule za sekondari na chuo ndio wanatabia ya kutext K, P, xaxa, cjui, xhanks..!!

Ndio maana mchina aliongoza kwenye mtihani wa kiswahili..!! Pumbavu zao..!!!!
hahahaha watu mnajua kuua aisee
 
Na wale wa xaxa badala ya sasa ndio wanakera kabisaa,tena wengi wao ni wanaume !! Hivi huoni haya Dume zima kuandika xaxa
 
Mtu akinijibu
k badala ya Ok
P badala ya Poa
Na vifupisho vingine huwa na mchukulia hana time na mimi, hapo najiongeza kwa kutojibu chochote.
 
Mtu akinijibu
k badala ya Ok
P badala ya Poa
Na vifupisho vingine huwa na mchukulia hana time na mimi, hapo najiongeza kwa kutojibu chochote.
Mkuu unaonekana una hasira sana
 
Hasira ninazo kiasi, lakini chukulia umetuma message yenye zaidi ya sentence 3, alafu unakula short answer "P" [emoji4]
 
Sipendi maneno hayo kwa mtu yoyote ninayechati naye. Uwe mdada au mkaka.
 
Back
Top Bottom