Unachati naye anajibu "K" au "Aya"

Unachati naye anajibu "K" au "Aya"

Nikishaonaga xaxa,xkul..najua tuu hawa ndo wale wanaojiita wajanja wakisasa...hivyo sinaga mda....bwana mdogo kipindi yupo shule aliniandikia msg akiainisha mahitaji yake...akaweka hayo maneno yake...nilisoma msg nikakaa kimya tuu...bada ya masaa kadhaa akarudi na msg nyingine bro nimekutumia msg umeiona...nikamwambia nimeiona ila sijaelewa kwani umeandika nn...??since then aliacha huo upumbavu...
 
Mimi mtu akinijibu "K" ndio amepotea kabisa!
 
Unaandika message ndefu wee mwisho anakuandikia K au P [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji34][emoji34]
Amigo....
Hata ndio majaribu yanayo tukuta wakati wa baridi kama hivi....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Eti kei.....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Yaani kei inapo jadiliwa, minafedheheka sana
 
Kwa hayo maandishi, mihua nakausha tu.
Then mwisho wasiku akiuliza kwanini sijibu msg zake.... Hapo hua natoa jibu moja tu, kwamba sijaziona....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sio Ujazielewa[emoji41]
 
Amigo....
Hata ndio majaribu yanayo tukuta wakati wa baridi kama hivi....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Eti kei.....[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Yaani kei inapo jadiliwa, minafedheheka sana
kabisa comrade [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mtu ukinijibu hivyo maana yake umechoka kuchat... hivyo ukisema "K" mi nakwambia "Z" halaf nahamisha majeshi kwingine..!
 
Back
Top Bottom