Unabii wa mwezi wa 8

1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa.

2. Naona katika Bongo Movie yakitokea matukio mawili ya huzuni yanayowahusu wasanii wawili wanaopendwa na watu wengi.

Hapa utupe code
Kule wengne inajulikana
Tumia ubongo
 
Hivi nyie watabiri,ni kwanini hua mnatabiri majanga tu?

Nje ya kuona hayo majanga,huo utabiri wenu hua hauoni vitu vingine?
Asilimia kubwa ya hawa watabiri hutabiri majanga tu kama vile Vifo,ajali,moto na mengineyo.
Naam usemwa mapema Ili watu kuchukua tahadhar kinga ni Bora kuliko tiba βœπŸΎβœπŸΎπŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…