Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,291
- 6,775
SanaInasikitisha sana
Hizi amabzo kwa sasa mnaziita nabii sijuii mahubiri ni mawazo ya haohao manabii wanaamua kutrend na matukio ya sasa ili na wao wapate pa kutokea..Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania
Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa
Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala
Mungu atatusikiliza (Tumuombe)
Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa
Angalia hii Video
View: https://youtu.be/7y9SiP8UOt0?si=oVrX35L1rBFL8F1q
Sio kila umdhanie ni hivyoHizi amabzo kwa sasa mnaziita nabii sijuii mahubiri ni mawazo ya haohao manabii wanaamua kutrend na matukio ya sasa ili na wao wapate pa kutokea..
Amin Amin nawaambieniHAya sawa kila mtu anamaono yake .
Ila samia taongoza nakumalizia uongozi wake .Amin Amin nawaambieni
Mungu huachilia Ujumbe wake kwa Watumishi Wake
Fanya observation utaona the same message inatolewa na watu tofauti tofauti
netanyahu, luashenko, m7 na wadau wengine kibao wanapepea tuHizi habari za kutegemea mungu ,sijui afanye hivi mara vile ni kupoteza mda tu , alikua wapi mpaka yakatokea hayo .?
Wanaua mpaka vitotonetanyahu, luashenko, m7 na wadau wengine kibao wanapepea tu
Wanaua mpaka vitoto
KabisaTuna changamoto ya manabii, nashauri kikao cha manabii wote tuitwe, upembuzi ufanyike, nabii mwongo afungiwe kabla ya kanisa zima kutukanwa.
Mtu kalewa pombe anasema Dar itaangamizwa kwa mafuriko, hayajatokea anaangaliwa tu, Mara sijui mwezi flani kutakuwa na tukio kubwa, miezi inapita na yeye anachekewa tu, sio sawa.
Utamjuaje nabii mwongo?
Biblia Ina jibu..
Kumbukumbu 18:22 Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope.