Abayesu bayesu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 119
- 124
- Thread starter
- #21
Asante barikiwa mtumishiUsipotoshe, Neema huja hata kama Uko usingizini, mfano mvua. Ni kwa Neema tu inakunyeshea na mwingine haikunyesha.
Asante barikiwa mtumishiUsipotoshe, Neema huja hata kama Uko usingizini, mfano mvua. Ni kwa Neema tu inakunyeshea na mwingine haikunyesha.
Well saidAmen Tanzania kwanza kila Mzalendo aiwazie mema Tanzania ni Nchi yetu hatuna nyingine zaidi ya Tanzania ,Hata kama humpendi fulani jilinde usifikie mbali Mwisho ukajaa hasira kifuani hatimaye ukawazia na Visasi hata kama iweje jizuie Kisasi cha Mungu pekee
Hujui vita mkuu, bora tu unyamaze. Mungu akurehemu sana.Nchi isiyo Na Furaha ....inazidiwa Na nchi yenye vita
Neema ni kustahili katika hali ya kutokustahili. Mbona kama sijawaelewa vile!Nimekusoma na Nimekuelewa! Siri za kimbingu ziko ktk uelewa huo.
Mkuu Neema unapata pasipo kuomba, huwatokea waovu na wema kwa wakati wowote ule alioukusudia Mwenyezi Mungu.Mvua ikenyesha ni neema km hyo neema hujui namna ya kutumia unaweza kuita neema?Vp wale wa msimbazi bondeni wanaweza kuita neema?Neema ni fursa unayojitengenezea ww mwenyewe mfano mvua ya Mungu imenyesha unapanda mazao yako unapata mavuno tayari hyo ni neema.
Habari wapendwa
Nawasalimu kwa jina la Bwana wetu Kristo Yesu
Juma pili nilikuwa miongoni mwa watu waliohudhuria ibada mchungaji alihubiri kuhusu moyo wa mwanadamu akasoma kitabu cha Mithali 4:23 unasema
23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Anafafanua ya kwamba mambo yote yanayotokea kwenye maisha yetu huwa tunayaandaa moyoni na kila unalowaza liwe baya au jema litatokea tu ndiyo maana Biblia inatuambia tulinde sana moyo kuliko yote tuyalindayo
Unabii : Mchungaji akasema wakati analiombea Taifa la Tanzania Mungu akamwambia kuna malalamiko yamejaa kwenye anga la Tanzania, akaendelea kusema kuwa roho huwa zinawasiliana kuna mtu unaweza kuwa humpendi hujawahi kumwambia lakini ukashangaa anajitenga mbali na wewe, Mungu akamwambia kwanza kama Tanzania tunahitaji maishani mazuri tuombee nafsi zetu zilizojaa manung'uniko, hasira, visasi tuziponye nafsi zetu tusafishe anga letu naye mungu atafanya kitu kwa ajili yetu
Walioko rohoni wataelewa zaidi
Asante kwa kusoma ujumbe huu
Ntauleta tena Mungu akimwonyeshaHUU NI UJUMBE WA KIJINGA NA UONGO ULIOTUKUKA WENYE LENGO LA KUWAFANYA WATU WAWE KAMA MAKONDOO DHIDI YA UTAWALA DHARIMU,NI UJINGA KUTUMIA BIBLIA KWA NIA MBAYA.. USITULETEE UJUMBE WA KISHETANI TENA
mkuu mtu mmoja tu ndo anatesa watu mil 50?Nani mchochezi? Ni unabii na nimeuleta humu kuna watu wengi tuliombee Taifa letu
Hujanielewa.Hujui vita mkuu, bora tu unyamaze. Mungu akurehemu sana.
Nchi iliyojaa Wazinzi na Waasherati inaomba baraka za MUNGU, nchi iliyojaa Uchawi na Ushirikina eti inaomba baraka za MUNGU. Nchi hii imejaa kila aina ya maovu na uchafu. Hivi hao manabii wenu hawawaambii kuwa kwenye Biblia imeandikwa kuwa MUNGU hawasikilizi wenye dhambi?
Msijidanganye wala msidanganywe, baraka za MUNGU haziji kwa kusali na kuomba. Baraka za MUNGU huwa zinawafuata wale watu wanaozishika Amri za MUNGU na kuzitenda kwa vitendo. Baraka za MUNGU haziendi kwa watenda dhambi hata siku moja.
Nabii wa kweli wa MUNGU atawakemea watu waache dhambi na maovu, tena atawafundisha watu kuwa, ili wapokee baraka kutoka kwa MUNGU, basi ni lazima wazishike Amri za MUNGU na kulitii NENO la MUNGU na kuacha kabisa dhambi.
Mimi nasema hivi, Nabii yeyote yule anayesema eti MUNGU kamwambia kuwa atashusha neema zake kwa nchi hii, huyo nabii ni mwongo kabisa. Kutokana na dhambi na uchafu uliotamalaki katika taifa hili, kamwe taifa hili halistahili kupokea baraka za MUNGU, bali "kibiriti" cha moto na laana. Nchi hii imekuwa zaidi ya Sodoma na Gomora, zaidi ya Babiloni; kila siku tunasikia watoto wadogo wanalawitiwa; wanawake wanatoa mimba hovyo, maelfu ya watoto wanazaliwa na kutelekezwa na baba zao, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia, wizi na ujambazi, ubinafsi na chuki, ushoga na usagaji na umalaya vimetamalaki kila sehemu hapa Tanzania, ndoa zinavunjika kila kukicha, matusi kwenye mitandao n.k.
Ndugu yangu Abayesu bayesu huyo Nabii wako na huo utabiri wake ni wa uwongo kabisa. Kwa maovu yanayofanyika ndani ya Taifa hili kamwe haliwezi kubarikiwa na MUNGU, hiyo haiwezekani.
Baraka za MUNGU haziendi kwa wenye dhambi mkuu... maandiko yamesema wazi wazi, na NENO la MUNGU halidanganyi.Mkuu umenena vyema.
Utaitwa mchochezi...hupendi baraka katika nchi....
Kwa hiyo dawa Ni 1....kutubuBaraka za MUNGU haziendi kwa wenye dhambi mkuu... maandiko yamesema wazi wazi, na NENO la MUNGU halidanganyi.