Unaanzaje?

Unaanzaje?

Sisi watu wa bara ni amri tu na shurti mtoto wa kike afuate apende asipende
 
Yaani nyie? Halafu utakuta mtu kastrip kabaki na chupi tu badala ya kulala ndio kwanza anajiangalia kwenye kioo sijui nywele ajitengeneze,sijui nyusi,atagueka upande huu na huu, sijui anaenda wapi usiku wa saa 4! Kumbe lengo uone maumbile yake uhamasike mwishowe umhimize aje kulala haraka maana ushaaza kupumulia mashine!!

1396499154121.jpg
 
Nashangaa, watu wa pwani hatuna hili wala lile, ukijifukiza oud wako wa mawardi, ukiifukiza na nyumba akikuta kikoi chake na khanga zako zimefukizwa ma oud, sharti nyumba inanukia kwa maoud ya mawardi, kitanda kimetupiwa asumini za hapa na pale, umeshajitia kikuba chako cha asumini na viluwa kichwani.

Hapo kuna kuongea tena? au kuna unaanzaje? Mnanchekesha!


sie wa bara ,hatujui
 
Ooooooooooooh nampa kumbatio la huba then napitisha mkono kwenye mapaja kama ana sket, bt with jeans n kugusa msingi wa kwenye makalio hapo atagugumia kinoma noma sana tu! Nafanya kuendelea tu
 
Back
Top Bottom